Wewe utakuwa wa dodoma tena Area AUnaumwa halafu unapost 'sick' at Benjamin mkapa hospital. Mungu anatuma malaika wake, wanakutafuta Benjamin mkapa yote wakuponye wanakukosa kumbe upo matovolwa dispensary unazidiwa unakufa
mmmh v*Una somea Tourism halafu mwaka wa Mwisho unaenda field Serengeti unaliwa na simba halafu unakufa*
Na wewe tupia yako tupenguze stress