Baada ya neno umama sasa ni kufa

Baada ya neno umama sasa ni kufa

lun

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
667
Reaction score
743
*Una somea Tourism halafu mwaka wa Mwisho unaenda field Serengeti unaliwa na simba halafu unakufa*

Na wewe tupia yako tupenguze stress
 
Una hustle unayapatia maisha muda kidogo tu unakufa
 
  • Thanks
Reactions: lun
Dah.. Ni hatari kufikiria kuanzia chini ya kiwili wili kushuka chini matokeo yake ndio haya
 
"unakataa nisikushike alafu unashikwa na malaria unakufa"
 
Unaumwa halafu unapost 'sick' at Benjamin mkapa hospital. Mungu anatuma malaika wake, wanakutafuta Benjamin mkapa yote wakuponye wanakukosa kumbe upo matovolwa dispensary unazidiwa unakufa
Wewe utakuwa wa dodoma tena Area A
 
Unatembea na malaya bila kinga kisha unaenda kupima ukimwi unaambiwa huna kwa furaha unatoka mbio hospitalini kisha unagongwa na bodaboda unakufa.
 
Back
Top Bottom