Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Itikadi ipi ya India inapingana na itikadi za West ?Ukiongea ushirika, kila nchi iko na ushirika na West. Ndio maana China anafanya biashara kwa kiasi kikubwa sana na Marekani. Kwahiyo shida sio ushirika, shida ni itikadi.
Wote unaowaona hapo BRICS, itikadi zao zinapingana na itikadi za magharibi. Kushirikiana kibiashara na nchi za magharibi haibadili ukweli kuhusi misimamo yao!
Kwa iyo wote watakaokataliwa ni vibaraka wa USA { USARIVA }Nigeria ni kibaraka wa USA isingekuwa rahisi kukubaliwa
Nigeria msalaMimi nikafikiri Nigeria wamekataa wenyewe kumbe walikataliwa. Kuhusu Ethiopia nao kukubaliwa ni lazima wameona kuna faida kubwa kwao. Ardhi yao wanaweza kuibadilisha na kuwa ya kilimo. Hapo akija mchina kwa viwanda na Brazil kwa kilimo basi hapo wanaangalia maslahi pia.
Nigeria ni Kibaraka wa Marekani na Ulaya.[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba Ethiopia na Nigeria , ni bora Ethiopia?