Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Jamaa ww ndo unatuibiaga wake na madem zetu. ....
Sisi tunakula story ww unatongoza kimasihara
 
Appo mzebaba anaona mazingaombwe we mtu Anatoka usiku yee anajua mchana kiufipi yaleee nii mapicha picha Ilaaa mwambaa umekazaa duh

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana inabidi haya ma bob marley mturuhusu tu,yanatia ujasiri unajifariji kama mko wawili mnapiga discussion kama jooh alivyokuwa anaona jiwe linahama,akaamua arudi kukoki mzigo,kakanyaga nyau anadhani jiwe😂😂😂😂
 
[emoji144]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kumkuta Agustino kama kafariki, Kila hatua niliyokua nasoma, nikajivika uhalisia wako, kwamba mm Ndo Wewe na Kipi ningefanya kwa Hari ilivyokuwa, maamuzi yetu yakatofautiana sana, let's wait for the next episode...

All in all Una roho ngumu Kama yangu, Risk taker wa Ukweli japo uliambukizwa na Agustino.
 
Sawa mkuu nitaendelea hivyo hivyo hatakama ni fake story. Its Already too late mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂
Na vile unatumia muda kuiandika naona kabisa hii inatiwa madikodiko mbali na chumvi😂😂
Ila usiogope ntasoma hivyohivyo mwisho wa siku kila mtu abaki na imani zake..

Ila mkuu kama ni kweli yalikupata hayo wewe ni gaidi..
 
Sio hivyo mkuu kuhusu muda wa kuandika sio kigezo maana nikianza kuandika naipiga yote chap maiweka hapo sio kwamba kukaa kwangu kimya eti nakaa kuandika nondoo[emoji23][emoji23]

Mimi nilikuwa nadhani umeunganisha doti ukaona mahala hapako sawa

Pia ukiangalia nature ya story yenyewe kamaa umafatilia toka mwanzo hata kama nikutunga sio rahisi hivyo

Fatilia hapo juu kuna episode mbili moja ndefu nyingine fupi kuliko zote uangalie tofauti wa muda nilioziachia utajua mwenyewe

Kingine nakuwa mvivu maana unaachia episode unaona ina like 2 sasa najua watu wengi hawajapita kusoma Kwann niangaike kuandika nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…