Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Kwanini moderate wanafuta aisee HAWAJUI MAISHA TIGHT ila Mimi natania ty mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
sijajua kwanini hua wanatoa sijui wananionea huruma ama vipi

ngoja nichukue fursa hii kabisa hapa najua wengi wanapitia huu uzi, natafuta mtaalamu wa hatari mwenye uwezo na nguvu na wa sio mambo mengi kama za huyu jamaa. njoo pm kwa maelekezo zaidi ya kunipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeacha rasmi kusoma muendelezo wako kwasababu unachosha,, siwez kuendelea kusoma ujinga usio na mwisho as if Sina Kaz za kufanya
nina uhakika kabisa na mikwara yako hii kama mwanamama mwenye mimba bado utaendelea kupitia kuangalia kama ameendeleza, prove me wrong!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mkuu umelazimishwa??kwa hiyo kuandika pale hujui ni kazi mno.fikilia ww kundika hilo bango lenye maneno yasiyo zidi 30 umetumia mda??akae anakufurahisha ww yeye kaz anafanya nani?tulia!
Nimeacha rasmi kusoma muendelezo wako kwasababu unachosha,, siwez kuendelea kusoma ujinga usio na mwisho as if Sina Kaz za kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…