Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Daa shukrani sana mkuu, kwa maneno yenye kutia moyo na faraja, mungu pia akujaalie kwenye malengo yako
 
Achana na hawa wa ajiriwa. Ukiona mfanyabiashara biashara amesimama kabisa na maendeleo ya kutisha, muogope sana asee, sii jambo rahisi rahisi
 
Safi kwa story kuna la kujifunza hapa. Lakini story ni completely fiction story.
Bila shaka wewe ni tajiri tayari nenda pale Global Publishers upige mzingo
 
Daaah asee pambana tu kamanda, ulikuwa jasiri ulivo acha kuchomoa ile shingo ukasepa hostel maana mama asingekuwepo, pesa za mbumba hazina afadhali kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…