Ni kweli Lissu anaweza kishinda kura za mtandaoni. Ni hakika kwa kura za uchaguzi mkuu zitakazopigwa na watanzania waliojiandikisha kupiga kura hawezi kupata hata 2%. Hii ni kwasababu hakuna mtanzania wa umri wa 30+, mkulima na wote wanaoishi vijijini asiyejua kuwa Lissu ni msaliti namba moja wa nchi yetu.
Kwani kinachoamua nani agombee urais ni wapiga kura (wajumbe) au wanachama?
Hizi shobo ndizo zitakazowaponza.
Mlishindwa kumtoa roho na sasa mmesikia anarudi sasa mmeanza kujijambia kwa uoga wa kuumbuliwa.
Sina tatizo na maoni yako, ila umekuja na hoja ambayo inabebwa na mahaba niue zaidi. Ni kweli nina mapungufu, ila sio hayo uliyoyaweka wewe. Umekuja na mchango kuwa Lowassa ndio alileta kura cdm uchaguzi wa 2015. Wakati ninajua fika 2015 cdm ndio ilikuwa chama cha kisiasa kilichopandisha hamasa zaidi ya kisiasa, na wapiga kura kuliko chama chochote. Kazi hiyo cdm iliifanya toka 2010 baada ya uchaguzi, mpaka 2015. Lowasa alikuwa kama mfungaji aliyebaka na goli wazi, kisha afunge kwa Madaha, halafu unataka awe nyota wa mchezo, kisa kafunga goli pekee la ushindi?
Kudhibitisha uko na hoja ya kupika, nimekuambia kama yeye ndio alileta kura 6m+ akiwa ni miezi miwili, taja alileta viti vingapi akiwa na miaka miwili. Au taja idadi ya matawi aliyofungua ndani ya hiyo miaka miwili, naona unazunguka tu.
Tuje kwenye hili la uchaguzi wa 2020. Magufuli kama Magufuli sio muumini wa box la kura, na ameshinda mara chache mno kwa njia ya box la kura, tena hata huko alifanya figisu zote. Wakati akifanya hayo alikuwa ni waziri tu, je leo hii ni rais, kwa katiba hii mbovu unategemea aheshimu box la kura?
Tuje kwenye mifano halisi wa kitakachotokea kwenye uchaguzi huu. Nitajie toka Magufuli ameingia madarakani ni lini kumewahi kufanyika uchaguzi wa kweli? Kwa macho yangu nimeona ukatili, ushenzi na uhayawani wa wazi ili ccm watangazwe washindi kwenye chaguzi za marudio. Yote haya yamefanyika kwa utaratibu wa jeshi la polisi na tume ya uchaguzi. Nimeona wasimamizi wa uchaguzi wakifunga ofisi zao ili kukwepa kupokea fomu za wapinzani, hatimaye mgombea wa ccm apite bila kupingwa. Ukifuatilia mbinu hizi, zote ndio alizokuwa akitumia Magufuli huko nyuma kupata ubunge.
Hayo hapo juu nimeyataja kwa uchache, lakini funga kazi ya tabia za Magufuli kwenye chaguzi za nchi hii, ilikuwa ni kwenye uchaguzi wa SM. Wote tuliona uchaguzi uliokosa heshima na ushenzi wa kiwango cha juu kutokea ndani ya chaguzi za nchi hii. Sina chochote cha kuongea maana matokeo yalikuwaje, na ushindi wa ccm ulipatikaneje kila mtu anajua. Kinachosaidia mpaka sasa kwa hali hii kutokea ni ukondoo wa watanzania. Jaribu kufuatilia mwenendo wa uchaguzi wa October, kote huko tayari kimeandaliwa mazingira ya kufanikisha uchaguzi wa hujuma na ushenzi wote unaoufahamu wewe. Ndio maana asasi zote zinazofahamika kwa kusema ukweli zimezuiwa kuangalia uchaguzi, na taasisi zote na waangalizi wa kimataifa wanaoweza kusema kweli wamezuiwa! Hivyo uchaguzi wa 2020 utakuwa ni wa tabia binafsi za Magufuli dhidi ya upinzani. Kama kweli unasimama kwenye ukweli, basi huo ndio ukweli.
Sasa kama munajua ni hivyo kwa nini munapoteza mda na rasilimali pesa.Tusubiri matokeo yapi, wakati matokeo yote yatatokana na utashi wa Magufuli? Kungekuwa na ushindani kwa maana ya ushindani, tungesema tusubiri matokeo. Kwa mfano, hebu nipe matokeo ya kilichotokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kama sio hayo ninayo kuambia kuwa ni maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi?
Mkuu ni ngumu kukuweka kwenye kundi la watu wenye akili ngumu kwa sababu hoja zako nyingi zina mantiki, zinasomeka na kujisimamia ipasavyo. Tatizo lako ni ama unafanya makusudi ya kutoutambua na kuukubali baadhi ya ukweli au mapenzi yako ya kupitiliza kwa chama unachoamini yameshakuathiri na kwa hivyo siyo rahisi ukafanya analysis nyingine yoyote huru nje ya imani yako ya asili. Eti unajipofua kwamba Lowasa hakuleta kura yoyote mpy CDM, eti umeendelea kung'ang'ana, hajafungua matawi, nk., nk. Kumbuka wakati fulani TL akitetea kwanini walimfyekelea mbali Dr. Slaa na kumweka Lowasa. Alichoeleza ni kwa sababu walifuata ushauri wa watafiti toka nje ya nchi waliokuwa wamepewa kazi hiyo na CDM ili kushauri ni mgombea yupi angeweza kupata kura nyingi kwa kutumia influence yake pekee. Lowasa alikuwa nambari 1 kwa maelezo ya TL ambaye wewe ndo unamwona A -Z. Watu wanapokuambia subiria matokeo ya mwaka huu yatakuonesha kama cdm ilikuwa na watu ama Lowasa ndo alikuwa na watu usilete utetezi mara hoooo, Magufuli hana demokrasia, hooo wala rushwa watatangazwa. Kama unayajua yote hayo kauli za mwisho wa Magufuli ni baada ya uchaguzi zinatoka wapi? Kwanini tumchoshe TL kuingia kwenye uchaguzi ambao tunajua cdm kupata angalau jimbo moja ni kwa kudra za Mwenyezi Mungu pekee?Sina tatizo na maoni yako, ila umekuja na hoja ambayo inabebwa na mahaba niue zaidi. Ni kweli nina mapungufu, ila sio hayo uliyoyaweka wewe. Umekuja na mchango kuwa Lowassa ndio alileta kura cdm uchaguzi wa 2015. Wakati ninajua fika 2015 cdm ndio ilikuwa chama cha kisiasa kilichopandisha hamasa zaidi ya kisiasa, na wapiga kura kuliko chama chochote. Kazi hiyo cdm iliifanya toka 2010 baada ya uchaguzi, mpaka 2015. Lowasa alikuwa kama mfungaji aliyebaka na goli wazi, kisha afunge kwa Madaha, halafu unataka awe nyota wa mchezo, kisa kafunga goli pekee la ushindi?
Kudhibitisha uko na hoja ya kupika, nimekuambia kama yeye ndio alileta kura 6m+ akiwa ni miezi miwili, taja alileta viti vingapi akiwa na miaka miwili. Au taja idadi ya matawi aliyofungua ndani ya hiyo miaka miwili, naona unazunguka tu.
Tuje kwenye hili la uchaguzi wa 2020. Magufuli kama Magufuli sio muumini wa box la kura, na ameshinda mara chache mno kwa njia ya box la kura, tena hata huko alifanya figisu zote. Wakati akifanya hayo alikuwa ni waziri tu, je leo hii ni rais, kwa katiba hii mbovu unategemea aheshimu box la kura?
Tuje kwenye mifano halisi wa kitakachotokea kwenye uchaguzi huu. Nitajie toka Magufuli ameingia madarakani ni lini kumewahi kufanyika uchaguzi wa kweli? Kwa macho yangu nimeona ukatili, ushenzi na uhayawani wa wazi ili ccm watangazwe washindi kwenye chaguzi za marudio. Yote haya yamefanyika kwa utaratibu wa jeshi la polisi na tume ya uchaguzi. Nimeona wasimamizi wa uchaguzi wakifunga ofisi zao ili kukwepa kupokea fomu za wapinzani, hatimaye mgombea wa ccm apite bila kupingwa. Ukifuatilia mbinu hizi, zote ndio alizokuwa akitumia Magufuli huko nyuma kupata ubunge.
Hayo hapo juu nimeyataja kwa uchache, lakini funga kazi ya tabia za Magufuli kwenye chaguzi za nchi hii, ilikuwa ni kwenye uchaguzi wa SM. Wote tuliona uchaguzi uliokosa heshima na ushenzi wa kiwango cha juu kutokea ndani ya chaguzi za nchi hii. Sina chochote cha kuongea maana matokeo yalikuwaje, na ushindi wa ccm ulipatikaneje kila mtu anajua. Kinachosaidia mpaka sasa kwa hali hii kutokea ni ukondoo wa watanzania. Jaribu kufuatilia mwenendo wa uchaguzi wa October, kote huko tayari kimeandaliwa mazingira ya kufanikisha uchaguzi wa hujuma na ushenzi wote unaoufahamu wewe. Ndio maana asasi zote zinazofahamika kwa kusema ukweli zimezuiwa kuangalia uchaguzi, na taasisi zote na waangalizi wa kimataifa wanaoweza kusema kweli wamezuiwa! Hivyo uchaguzi wa 2020 utakuwa ni wa tabia binafsi za Magufuli dhidi ya upinzani. Kama kweli unasimama kwenye ukweli, basi huo ndio ukweli.
Mkuu ni ngumu kukuweka kwenye kundi la watu wenye akili ngumu kwa sababu hoja zako nyingi zina mantiki, zinasomeka na kujisimamia ipasavyo. Tatizo lako ni ama unafanya makusudi ya kutoutambua na kuukubali baadhi ya ukweli au mapenzi yako ya kupitiliza kwa chama unachoamini yameshakuathiri na kwa hivyo siyo rahisi ukafanya analysis nyingine yoyote huru nje ya imani yako ya asili. Eti unajipofua kwamba Lowasa hakuleta kura yoyote mpy CDM, eti umeendelea kung'ang'ana, hajafungua matawi, nk., nk. Kumbuka wakati fulani TL akitetea kwanini walimfyekelea mbali Dr. Slaa na kumweka Lowasa. Alichoeleza ni kwa sababu walifuata ushauri wa watafiti toka nje ya nchi waliokuwa wamepewa kazi hiyo na CDM ili kushauri ni mgombea yupi angeweza kupata kura nyingi kwa kutumia influence yake pekee. Lowasa alikuwa nambari 1 kwa maelezo ya TL ambaye wewe ndo unamwona A -Z. Watu wanapokuambia subiria matokeo ya mwaka huu yatakuonesha kama cdm ilikuwa na watu ama Lowasa ndo alikuwa na watu usilete utetezi mara hoooo, Magufuli hana demokrasia, hooo wala rushwa watatangazwa. Kama unayajua yote hayo kauli za mwisho wa Magufuli ni baada ya uchaguzi zinatoka wapi? Kwanini tumchoshe TL kuingia kwenye uchaguzi ambao tunajua cdm kupata angalau jimbo moja ni kwa kudra za Mwenyezi Mungu pekee?