Uchaguzi 2020 Baada ya Nyalandu kuongoza kura za awali kwa 100%, Je ni dalili za Nyalandu kupeperusha bendera ya CHADEMA? Je, Lissu atarudi kweli J3?

Hivi huko CDM mnajifunzaje propaganda za kishamba hivi ili mtudanganye?

Nini lengo lenu?

Ni kweli Nyalandu amekuwa wa kwanza kwa kupata Kura zote afu anafuatiwa na Lisu na watati ni Maryrose?

Kama Nyalandu amepata Kura zote huyo wa pili Kapata Nini na wa ttu kapata Nini?
 
Maigizo ya siasa za [emoji1241] huwa yanavutia sana kipindi cha uchaguzi. Pesa acha iitwe pesa Dr Slaa aliondoka CDM kutoka na taama za baadhi ya watu dk za mwisho kbsa na yy akaunga juhudi mapema sna seat ya mbele na akala shavu nono la ubalozi,,,,, kwanini isiwe kwa hawa walio baki si ajabu hata TL ipo siku akaunga tela.
Kuitoa CCM madarakani si rahisi hivyo ambavyo watu wanafikiria kwani tuna mfumo unao mpa sana sna chama tawala ni sawa na mtt leo kutaka kuwa mtawala ndani ya familia ingari baba yuko hai

Tufanye kazi kwa bidii na kuamini sna katika kujikomboa kwa kuwa na misingi bora kwa vizazi vyetu. Hatma ya maisha yako ipo mikoni mwako si kwaka Magu, TL, BM au Pro

NB kunguru mwogo huishi maisha marefu.... ndugu yangu Mla Bata hupenda kusema "Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
 
Sema wewe. Ninyi na Nani wakati wenzio wanampigia kura Nyarandu.?
Kwani kumpigia Nyalandu Ni kosa?au kumpigia Lissu Ni kosa?Watanzania ifike wakati tuache kujipumbaza,anauechagua rais Ni wa kupepeprusha bendera ya CHADEMA no mkutano mkuu utakaofanyika mwezi ujao ambapo wagombea wote watapata nafasi ya kujinadi mbele ya wajumbe.Sasa ninyi kinawatesa Nini?

Halafu kwa mtu ambaye hayupo nchini miaka 3 na bado anapata asilimia zote hizo bado huyo mtu anakubalika.Kwa mfano sasaivi Ni mtanzania gani aliye nje ya nchi anayeweza kupigiwa kura japo kwa video tu akawaridhisha watu?Hakuna zaidi ya Lissu,Kama Lissu asingeshambuliwa bila Shaka sasaivi CDM wagombea wote wangejitoa kumsapoti yeye.Lakini kwa kukaa mbali na taifa kwa muda mrefu lakini bado anakubalika so Jambo dogo hata kidogo
 
Acha uongo basi. Kule kwetu hawamjui mbona.
 
Amezidiwa kura ngapi?
 
Anarudi baada ya matibabu? Give me a break Men![emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
CCM endeleeni kumalizia malizia vyakula vya ikulu kwa sababu sasa ni dhahili kuwa mnamuogopa Lissu kuliko Kifo na njaa.
Ila niwaambie jambo, Chadema sio wajinga, wanajua akili zenu, wanajua mawazo yenu. Majibu ya mnachokifurahia leo mnaenda kuyapata hapo Jumatatu Lissu anavoenda kutua nchini na Tarehe 28 kwenye mkutano mkuu wa Chadema
 
Ila tu tukumbule hata Dr. Slaa alitoka CCM!!!
Kuna funzo hapo!!
 
Nyalandu could be a deep undercover. Kuja chadema ilikua ni misheni ya watu wanaoiendesha nchi kimyakimya.
 
Tunampenda Lissu, lakini bahati mbaya uongozi mkuu wa Chadema hauamini kuwa anafaa kuwa namba 1
Vyovyote vile kura yangu kuliko kumpa mgombea wako Membe(Lowassa part 2) au Nyalandu(Special Mission) muda huo bora nikaangalie porno tu.
 
Hata kama Nyalandu ndio angekuwa mtia nia pekee wa Chadema kwa ngazi ya uraisi,still hasingepata kura 100%.
 
Maajabu ya Dunia ccm kufurahia demokrasia ya Chadema. Wakati mlishindwa hata kuwakaribisha kwenye ufunguzi wa jengo ya NEC , Uchaguzi house pale Dodoma
Maajabu ya demokrasia ya asiyeelewa(Rutashobokelwa) ya kuchapa fomu moja tu ya kugombea kuongoza vyombo vya dola!
 
Aliyeumwa na nyoka! Once beaten twice shy! Akili ikiwepo na kutangulizwa mbele! Uzoefu wake unamnyima usingizi. Kuna maigizo mengi hapa nchini. Scriptless maigizo. Anzia Lamwai(r.i.p), Lowassa nyumbani kumenoga na mpuuzi juzi Nassari kutia nia huko alikoangukia pua. Vikaragosi ni wengi kuliko muda wa kuwajadili. Mwache atapike nyongo. Ikikaa ndani inaumiza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…