Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Afisa Kilimo wa Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro, Erick Kaaya amesema wamepokea taarifa kuwa Nzige wapo Kilometa 50 kutoka ulipo mpaka wa Kenya na Tanzania
Katika taarifa iliyotolewa na Afisa huyu wa Wilaya, amewaomba Wananchi watakapoona Wadudu jamii ya Panzi kutoa taarifa mapema kwenye Mamlaka ili ziwezw kufikishwa mahala husika
Nzige wamevia maeneo kadhaa nchini Kenya na katika nchi ya Ethiopia ambapo wadudu hao wameenea, uvamizi wake umetangazwa kama janga la Kitaifa