Baada ya Nzige kutesa Kenya, wanaelezwa wapo Km 50 kufikia mpaka wa Tanzania na Kenya

Baada ya Nzige kutesa Kenya, wanaelezwa wapo Km 50 kufikia mpaka wa Tanzania na Kenya

Hawa nzige watakuwa wameletwa na mabeberu ili tushindwe kifanaya uchaguzi watupige vikwazo vizuri
 
Wanasubirije tuwaambie? Mbona taarifa za kiiteligesia huwa wanazipata na kuzuia mikutano ya Chadema!!?
 
Hivi hao panzi huwa hawaliwi?

Kama hawaliwi na binadamu vipi hawawezi tumika kama chakula cha mifugo mfano kuku?
Wanaliwa tena ni watamu na wana nyama kuliko senene, sema watu wengi tunaogopa kuwala hawa nzige kwa kuwa wanashambuliwa kwa kupuliziwa sumu nyingi za kuwaangamiza wasilete athari ya kula mazao na kusababisha njaa.
 
50km bado anataka taarifa gani?

Daah
Taarifa ya kuwa wamefika na wapo wapi.

Hawa wadudu hawatabiriki wala hawana "route" maalum. Unaweza kuwangoja karibu na walipokuwepo wao wakaibukia kwengine kabisa.

Ni vyema atakaewaona atowe taarifa.
 
Back
Top Bottom