Project nzuri sana hii,ingawa inahitaji vipimo vya ubora kutoka maabara za TBS,kwa kuwa wakati mwingine wanaweza kubeba virus/bacteria wabaya kwa viumbe wengine.Hivi hao panzi huwa hawaliwi?
Kama hawaliwi na binadamu vipi hawawezi tumika kama chakula cha mifugo mfano kuku?
50km bado anataka taarifa gani?Mkuu wa Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro, Erick Kaaya amesema wamepokea taarifa kuwa Nzige wapo Kilometa 50 kutoka ulipo mpaka wa Kenya na Tanzania
Katika taarifa iliyotolewa na Mkuu huyu wa Wilaya, amewaomba Wananchi watakapoona Wadudu jamii ya Panzi kutoa taarifa mapema kwenye Mamlaka ili ziwezw kufikishwa mahala husika
Nzige wamevia maeneo kadhaa nchini Kenya na katika nchi ya Ethiopia ambapo wadudu hao wameenea, uvamizi wake umetangazwa kama janga la Kitaifa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]50km bado anataka taarifa gani?
Daah
Hawa wadudu watakuwa wanaliwa naona, maana yule jamaa yohana alikuwa kwa asali kipindi kile...
Mathayo 3: 4 Naye Yohana mwenyewe alikuwa na vazi lake la singa za ngamia, na mshipi wa ngozi kiunoni mwake; na chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwitu.
Swali zuri sana!50km bado anataka taarifa gani?
Daah
Mkuu wa mkoa afunge mpaka ili wasiingie nchini mwetu. Hao wadudu ni wabaya sana.Afisa Kilimo wa Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro, Erick Kaaya amesema wamepokea taarifa kuwa Nzige wapo Kilometa 50 kutoka ulipo mpaka wa Kenya na Tanzania
Katika taarifa iliyotolewa na Afisa huyu wa Wilaya, amewaomba Wananchi watakapoona Wadudu jamii ya Panzi kutoa taarifa mapema kwenye Mamlaka ili ziwezw kufikishwa mahala husika