Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
Nilitaraji kusikia kuwa tayari helikopta au ndege na dawa za kunyunyizia ziko mpakani au kwenye buffer zone ya mpaka wa Kenya na Tz!Swali zuri sana!
Wanaliwa tena ni watamu na wana nyama kuliko senene, sema watu wengi tunaogopa kuwala hawa nzige kwa kuwa wanashambuliwa kwa kupuliziwa sumu nyingi za kuwaangamiza wasilete athari ya kula mazao na kusababisha njaa.Hivi hao panzi huwa hawaliwi?
Kama hawaliwi na binadamu vipi hawawezi tumika kama chakula cha mifugo mfano kuku?
Taarifa ya kuwa wamefika na wapo wapi.50km bado anataka taarifa gani?
Daah