Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Huyo ustadhi ukikutana naye vichochoroni anaweza kukukaba,sura yake haioneshi amani kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ustadhi ukikutana naye vichochoroni anaweza kukukaba,sura yake haioneshi amani kabisa.
Ndio wakina nan hawa kwani?
Mjita ni mjita tu hiyo miwani sasa kama kama ya sharku kan
Wakioana lazima wazae zombie
Shida ya dada zetu unaweza kukuta ameshatafunwa tayari ila mashauzi tu, huyu dada ana pepo la kumegwa na waganga wa kienyeji.
Hivi mizukuru jilala Dr Limbe alikuwa na tofauti gani na huyu mshamba ostadhi Juma?
asante kwa kunirekebisha.Una uhakika unachoKINENA?Uliza uambiwe kama hujui,Ng'wizukulu Jilala alikuwa bwana wa Nora na sio Johari