Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
ndo akili zao zinapoishia wavaa kobazMda msi mrefu lawama atatupiwa marekani
Mda msi mrefu lawama atatupiwa marekani
Shetani mkuu!Mda msi mrefu lawama atatupiwa marekani
😂Mda msi mrefu lawama atatupiwa marekani
Hawezi kutupiwa kwasababu wenyewe washaambiana.Security Assistant to the Iranian Governor of Sistan and Baluchestan: Explosions sounded on the outskirts of the city of Saravan, near the border with Pakistan.
Pakistani intelligence official: Pakistan launched strikes inside Iran.
Source: Al Jazeera, Agence France-Presse
Na muda sio mrefu lawama atatupiwa Israel
nadhani Hamna kitu marekani anaogopa kama vita, Hasa uharibifu wake, pengine ikitokea anajitaidi kupigania kwenye aridhi ya wengineNimewapenda sana Pakstan hawajataka pakuche wamelipa, Marekani kakoswa koswa Ubalozi wake ila hajamtupia Iran kitu
Alipolipua ni shared land kama kashmir.Nimewapenda sana Pakstan hawajataka pakuche wamelipa, Marekani kakoswa koswa Ubalozi wake ila hajamtupia Iran kitu
Acha uongo eneo la pakistani liloshambuliwa na iran ni jimbo la balochstan lililopo mpakani toka lini ubalozi wa marekani ukawa balochstanNimewapenda sana Pakstan hawajataka pakuche wamelipa, Marekani kakoswa koswa Ubalozi wake ila hajamtupia Iran kitu
Uwe unatulia na kutafakariAcha uongo eneo la pakistani liloshambuliwa na iran ni jimbo la balochstan lililopo mpakani toka lini ubalozi wa marekani ukawa balochstan
Ubalozi wa marekani upo islamabad na sio balochstan