PreGE2025 Baada ya Press ya leo ya Gwajima, nani atamjibu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ATA WARIOBA NAYE ALIKEMEA
 
Vyovyote iwavyo, nahitaj Gwajima aendelee kumpasua pasua huyu Mama na Genge lake

Samia kichwan ni SIFURI, Elimu yake Iko wazi, Hana Uwezo wa akili, ndio Sababu kaegemea kwenye matumizi ya nguvu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Saa100
 
Trust me wapo na watakuja kwakuwa tumewaona mitandaoni wakifanyq hivyo huku tukiambiwa kifo ni kifo tuu
 
Hata ile michawa ya JF nayo huu uzi inauona wa moto
Haina shaka kuwa unawa - refer hawa Tlaatlaah chiembe, Shotocan, Lucas Mwashambwa, Pascal Mayalla, Mtoto wa Shule, Dr wa Manesi, Dr Akili na chawa wengine wadogo wadogo...

Wako kwenye kikao deep down the Ocean floor ya Indian Ocean chini ya uenyekiti wa Jezebel wakipeana majukumu nani akaseme/akaandike nini kujibu..

Imeandikwa: "...Shetani ni kama Simba aungumaye akimtafuta mtu yeyote Ili apate kummeza.."

Yatakuja yakiji - pretend kama "Simba" lakini sio ma - Simba kweli Bali ni mambwa Koko tu wasio na meno yoyote ya kutumia..

Lakini kwa hili, haina shaka kabisa kuwa, the devil's 👿 👿 👿 👿 👿 tactics & strategies have been hammered big time...

Wanandondo husema: Wamepigwa TKO matata ya kushitukizwa. Wanaweza wasiamke na wakiamka, akili zao zitakuwa in turmoil of confusion...!!

Let's see what's their next move...
 
Leo nilikia napita mitaa flani Tabora, kuna mtu nilimfananisha na Nchimbi pale Oxygen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…