PreGE2025 Baada ya Press ya leo ya Gwajima, nani atamjibu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
jikite kwenye imani yako huna haja kubabaika na imani za wengine gentleman
Imani ina msaada gani kwenye maisha yangu ? Kwanz Thibitisha uwepo wa Mungu nyie wauaji?
 
Imani ina msaada gani kwenye maisha yangu ? Kwanz Thibitisha uwepo wa Mungu nyie wauaji?
imani ni hoja ambayo inasaidia sana kua na mijadala ya kusisimua ubongo na kuongeza ufahamu na uelewa wa wadau hususan wa JF dhidi ya uwepo wa Mungu na shetani.
ni vizuri wenye imani na wapagani kama wewe mkakubaliana kutofautiana kwa upendo na itapendeza zaidi gentleman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…