Sijawahi kuwa mpagani kamweimani ni hoja ambayo inasaidia sana kua na mijadala ya kusisimua ubongo na kuongeza ufahamu na uelewa wa wadau hususan wa JF dhidi ya uwepo wa Mungu na shetani.
ni vizuri wenye imani na wapagani kama wewe mkakubaliana kutofautiana kwa upendo na itapendeza zaidi gentleman
Thibitisha uwepo wa Mungu kwanza?ni yeye gentleman
Gentleman,Thibitisha uwepo wa Mungu kwanza?
Katoa mawazo yake kama mtanzania na mawazo yake yaheshimiwe na yasichukuliwe kama ni chuki kwa mtu Bali yachukuliwe kama ni sehemu ya kuanza kurekebisha sehemu zote zilizoshindwa kuwajibika....
Dr Gwajima amekemea hata matendo ambayo sio tija kwa taifa na wananchi kwa ujumla...ajibiwe kwa hoja
Gentleman,
nakuthibitishia kwa neema na baraka za Mungu Dr.Samia Suluhu Hassan wa CCM atashinda uchaguzi mkuu kwa kishindo kikuu, katika uchaguzi mkuu wa october 2025 na kuongoza taifa letu mpaka 2030.
🤔🤔🤔Gwajima katumwa na mama kupoza moto wa wakenya na pia kuwahadaa watanzania kuwa ccm inapiga vita utekaji
Atauwa na yeye. Mama ameshaonja damu za watu hawezi kuacha☺️
Thibitisha uwepo wa Mungu mueza wa yote na mwenye upendo wa kweli , acha upumbavu wa kutaja watu wanaokunya kama mimi na kiazi wewe?Gentleman,
nakuthibitishia kwa neema na baraka za Mungu Dr.Samia Suluhu Hassan wa CCM atashinda uchaguzi mkuu kwa kishindo kikuu, katika uchaguzi mkuu wa october 2025 na kuongoza taifa letu mpaka 2030.
🤣🤣Thibitisha uwepo wa Mungu mueza wa yote na mwenye upendo wa kweli , acha upumbavu wa kutaja watu wanaokunya kama mimi na kiazi wewe?
nathibitisha kwako na kwa waTanzania wote,Thibitisha uwepo wa Mungu mueza wa yote na mwenye upendo wa kweli , acha upumbavu wa kutaja watu wanaokunya kama mimi na kiazi wewe?
Samia mimi ashinde au asishinde hana sababu kwenye maisha yangu , ndio maana simpii kipaumbele kwa mambo ya maana, wewe weka uthibitisho wa uwepo wa Mungu hata kama ni huyo samia wako tutaelewa tu,gademiiit.nathibitisha kwako na kwa waTanzania wote,
kwamba kwa neema na baraka za Mungu Dr.Samia Suluhu Hassan atashinda uchaguzi gentleman na sio kwa imani yako
nathibitisha kwako na kwa waTanzania wote,
kwamba kwa neema na baraka za
nathibitisha kwako na kwa waTanzania wote,
kwamba kwa neema na baraka za Mungu Dr.Samia Suluhu Hassan atashinda uchaguzi gentleman na sio kwa imani yako
Mungu Dr.Samia Suluhu Hassan atashinda uchaguzi gentleman na sio kwa imani pea