Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Wanajamvi, ikumbukwe hapo jana kuna clip ilikuwa inatembea kwenye mitandao ya kijamii ilionyesha wazee wa klabu ya Simba wakilalama kutokuwa na imani na meneja wa uwanja. Wakimtaka akae pembeni mpaka mechi yao itakapo kwisha.
Ukweli ni kwamba toka jana meneja ameamua kukaa pembeni na kuwaachia uwanja wazee hao wa simba mpaka mechi yao itakapo tamatika hapo kesho. Ngoja tuone nini kitatokea.
Ni simba dhidi ya Al masry ya Misri, hapo kesho majira ya saa kumi jioni. Huku Al masry wakiwa na faida ya magoli mawili kwa bila waliyoyapata katika mchezo wa awali.