Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Tumechanganya cocktail moja matata sana. Hili bomu la nyuklia linaenda kumlipukia mtu ataenda kuyahadithia mataifa ππ€£πKwa hali hii kuna timu itakuja ifungwe hiyo kesho! Maana siyo jambo poa hata kidogo kuchanganya mafuta ya upako ya Mwamposa, na mazindiko ya hao wazee kwa wakati mmoja.
Mwamposa mwenyewe anauzia watu chumviKwa hali hii kuna timu itakuja ifungwe hiyo kesho! Maana siyo jambo poa hata kidogo kuchanganya mafuta ya upako ya Mwamposa, na mazindiko ya hao wazee kwa wakati mmoja.
na wewe ungefanya hivyo vitu huko makundi bas maana naona mnaumia mnoKwa hali hii kuna timu itakuja ifungwe hiyo kesho! Maana siyo jambo poa hata kidogo kuchanganya mafuta ya upako ya Mwamposa, na mazindiko ya hao wazee kwa wakati mmoja.
Ungebahatika kuona figisu,vitimbi,hila,mauzauza na Kila aina ya karaha wanazofanyiwaga Simba au timu zetu pale wakienda nje kucheza wala hili usingeliona kama ni aibu.Inasikitisha na wanatudharirisha sisi kama nchi.
Ila kufanya ushirikina ni kujidhalilisha aisee.Ungebahatika kuona figisu,vitimbi,hila,mauzauza na Kila aina ya karaha wanazofanyiwaga Simba au timu zetu pale wakienda nje kucheza wala hili usingeliona kama ni aibu.
Hapa juzi TU Yanga Hadi walipigwa huko DRC.
Mbona Simba watakatifu sana?huko ugenini Kuna fitina chafu na za waziwazi kabisa.
ππππTumechanganya cocktail moja matata sana. Hili bomu la nyuklia linaenda kumlipukia mtu ataenda kuyahadithia mataifa ππ€£π
Aisee!Wanajamvi, ikumbukwe hapo jana kuna clip ilikuwa inatembea kwenye mitandao ya kijamii ilionyesha wazee wa klabu ya Simba wakilalama kutokuwa na imani na meneja wa uwanja. Wakimtaka akae pembeni mpaka mechi yao itakapo kwisha.
Ukweli ni kwamba toka jana meneja ameamua kukaa pembeni na kuwaachia uwanja wazee hao wa simba mpaka mechi yao itakapo tamatika hapo kesho. Ngoja tuone nini kitatokea.
Ni simba dhidi ya Al masry ya Misri, hapo kesho majira ya saa kumi jioni. Huku Al masry wakiwa na faida ya magoli mawili kwa bila waliyoyapata katika mchezo wa awali.
View attachment 3297149
Huwa sidhani kama wana recruitment staff wanaosajili kwa high profiles za wachezaji wanaofiti kwenye sysstem of playing.Ukweli mchungu ni kuwa Simba sasa hivi haina viongozi makini. Iwapo Simba ingekuwa na viongozi makini ingefanya usajili wa wachezaji wa maana na wala kusingekuwana haya mambo yote tunayoyaona sasa na ambayo tutaendelea kuyaona mpaka mechi iishe.
Mpira ni sayansi na wala sio uchawi. Sitaki kuamini kukosa kule magoli ya wazi kule Misri ilikuwa ni uchawi bali naamini ilitokana na kukosa utulivu kwa safu ya ushambuliaji wa Simba pamoja na Ateba kuwa mzito. Haya ndiyo yanatakiwa yafanyiwe kazi kwa nguvu zote. Hizo drama nyingine zote Mwamposa, wazee wa Simba kulazimisha waingie uwanjani, kumwaga vitu visivyoeleweka getini, n.k. sidhani kama vinaweza kusaidia kitu.
Ni mtizamo tu.
Hizo fitina zinahusu ulozi kama huo na wazee kulinda uwanja kwa siku 4 mfululizo?Ungebahatika kuona figisu,vitimbi,hila,mauzauza na Kila aina ya karaha wanazofanyiwaga Simba au timu zetu pale wakienda nje kucheza wala hili usingeliona kama ni aibu.
Hapa juzi TU Yanga Hadi walipigwa huko DRC.
Mbona Simba watakatifu sana?huko ugenini Kuna fitina chafu na za waziwazi kabisa.
Hapo sawa ila huwa unaudhi unapoiandama yanga.Tumechanganya cocktail moja matata sana. Hili bomu la nyuklia linaenda kumlipukia mtu ataenda kuyahadithia mataifa ππ€£π
Pole mkuu. Ni katika kunogesha jukwaa tu, usichukulie mambo siriaz kihivoHapo sawa ila huwa unaudhi unapoiandama yanga.
Yaani hawajui tu. Embu angalia alichofanya mwamuzi mechi ya kwanza, hivi katika mechi ya leo mwamuzi akiwa familia akatoa penati 4 kuipa Simba utailaumu au kuisema Simba kweli?Ungebahatika kuona figisu,vitimbi,hila,mauzauza na Kila aina ya karaha wanazofanyiwaga Simba au timu zetu pale wakienda nje kucheza wala hili usingeliona kama ni aibu.
Hapa juzi TU Yanga Hadi walipigwa huko DRC.
Mbona Simba watakatifu sana?huko ugenini Kuna fitina chafu na za waziwazi kabisa.
Walipigwa na uchawi? Maana ni dhahiri hao wazee wanapigania ushirikina ufanyike.Ungebahatika kuona figisu,vitimbi,hila,mauzauza na Kila aina ya karaha wanazofanyiwaga Simba au timu zetu pale wakienda nje kucheza wala hili usingeliona kama ni aibu.
Hapa juzi TU Yanga Hadi walipigwa huko DRC.
Mbona Simba watakatifu sana?huko ugenini Kuna fitina chafu na za waziwazi kabisa.