Baada ya Qboy Msafi kuwakimbia wasafi*wcb*hatimaye wamemuundia zengwe la kumpa mimba denti

Jamaa mawenge huyo.alipelekwa ulaya akataka kuzamia.wakamchoma.

Sent from my MJINGAMIMI using JamiiForums mobile app
 
Mh hit maker? Mtu hajui kuimba unamwita hit maker, halaf huyo Q boy sidhani hata kama ana shabiki yeyote bongo hii. Shabiki wake mkubwa kamtia mimba
Teh teh...Chuki za standard gauge
 
Ujinga mwengine bana,kwahiyo hivi ndivyo "king kiba" alivyokutuma ???
 
mugacherechere imetungwa na rayvanny na diamond pia
karorero- imetungwa na lavalava

I think ukasikilize interview ya diamond alpoulizwa about him... Ila inshort jamaa wamembeba sana.. alitaka hadi kuzamia US.. kupitia name ya WCB

how bout' that?!?
 
Mh hit maker? Mtu hajui kuimba unamwita hit maker, halaf huyo Q boy sidhani hata kama ana shabiki yeyote bongo hii. Shabiki wake mkubwa kamtia mimba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Ana utovu wa nidhamu amepelekwa ughaibuni anataka kung'ang'ania hukohuko
 
Ndugu yangu Hoffwoman umewahi bila kufanya uchunguzi.
 
Frankly speaking siujui hata wimbo mmoja wa q boy nachojua aliiba gari ya zari akaenda kuuzia sura halafu WCB wamfanyie fitina ili wagundue nini? 30 jela na huyo dent hasomeshwi tena na magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…