Baada ya Rais Magufuli kuhamia rasmi Dodoma, Je Ikulu ya Dsm itajulikana kama Ikulu ndogo na RC kusogezwa jirani?

Dar haiamiki kizembe.
Alafu mawazo ya kupeleka makao makuu ya nchi dodoma yashapitwa na wakati,
Hivi kwa karne ambayo nguvu nyingi zinahitajika kwenye "e-government" bado kuna wa uzao fulani unatuaminisha kuwa tunahitaji majengo yajirundike sehemu moja iitwayo mji wa serikali!!!
Hivi kwa nini hatufikirii kuhusu decentralization kuruhusu stronger institutions at the local/regional govt level??
Hivi kuna faida gani kuwatoa watumishi Dar na kwenda kuwarundika Dom?
Mafoleni watayafanyeje?
Je kutakuwepo na usafiri wa mwendo kasi?
Je kuna double lanes ngapi mji ule?
Je kuna hospitali ya Taifa kule wakiumwa itabidi warudi Muhimbili?
Hivi hawa wanawachukuliaje watangulizi wao? Kutimiza ndoto kunatakiwa kuende sambamba na matumizi ya akili!
Kuna vitu si vya kutamka tu viwe na ukafurahia vinavyokuja kirahisi rahisi bila tafakuri!
Unajenga Dom alafu unahimarisha miundombinu ya daraja baharini kule Salender...!!
Watajilinda vipi dhidi ya udukuzi?? (Sina shida na ulinzi wa mitutu)...
Je, hiyo Ikulu itakidhi mahitaji yote ya kihistoria??
Je, common wananchi nao wakihitaji huduma watalazimika kwenda mitumba town??
Yaani siku zote Mimi nilikuwa natamani nione huduma na idara nyeti za serikali/dola zikitawanywa nchi nzima kuanzia ngazi za Kanda hadi Mikoa, Wilaya, Kata, n.k
Ujue uwepo wa VEO/WEO ni kuwa dhana ile ile tu sawa na uwepo wa Mkurugenzi wa jiji/manispaa/hashauri, n.k! Watu tunao...
Wataalamu wapo wengi tu... Tena wasomi wazuri!
Ni kwa nini vijana wasipewe fursa za kuwa wataalamu kuanzia huku with promotions potential?

This Is Very Insane!! Tungejipa muda wa kufikiri tungejikuta tunatekeleza mradi huu kwa kupatia ufumbuzi changamoto lukuki vile vile!
 
Eeenh, umeorodhesha visingizio vyooote vilivyotumika huko nyuma kwa nini makao makuu yasihame.
Sasa yamehama, iliyobaki ni kuyazoea tu na kuendelea mbele kama hapajawahi kuwepo na makao makuu Dar. Ukienda Ibuja au Lilongwe na sababu hizo watakushangaa sana!
 
Hivi Mahakama walishahama; au wao wataendelea kuwepo Dar es Salaam?
 
Inasikitisha. Kwa kweli.
Na wale jamaa wenye suti nyeusi atawasaidiaje
 
Paskali wananchi wanataka maendeleo siyo kubadirisha nyumba za serikali au duplication.
Gharama za kuhamia Dodoma haina umuhimu.kiuchumi bali ni matumizi mabaya ya pesa za umma kwa kipindi hiki.
Dodoma kama ilivyo sehemu nyingine inahitaji zaidi kuboresha au kukuza kipato cha mwananchi.
Kazi za serikali kwa miaka ya sasa zinaendeshwa kwa IT Tehama,kulikuwa na haja gani ya kuwahamisha na kuwalundika katika vicolidor vya Dodoma?
Pili mji wenyewe upo lift valley je ukija zama miaka ijayo,je watakuwa tiyari kujenga floating capital city?itakuwa hasara ya nani kama si ya wananchi.
Ukipata nafasi pitia masuala ya vichochezi vya kiuchumi ktk mfumo wa re-allocations
 
Eeenh, umeorodhesha visingizio vyooote vilivyotumika huko nyuma kwa nini makao makuu yasihame.
Sasa yamehama, iliyobaki ni kuyazoea tu na kuendelea mbele kama hapajawahi kuwepo na makao makuu Dar. Ukienda Ibuja au Lilongwe na sababu hizo watakushangaa sana!
Ya kijinga mnajimwambafy kuiga...
Yenye akili mnajiona mko dola huru kufanya mtakavyo!
Anyway; werevu tunajua kuwa mradi wa Dom kama miradi mingine ni kichaka cha upigaji!
Kuna ya kijinga mangapi mshaanzisha na wala nchi haijasimama au kujizuia kujiendesha...?? Maisha yanaendelea mbele kwa spidi kubwa...
Very soon ujinga na ulaghai utajipambanua!
So shameful indeed!
 
Kaka mkuu ww umeandika ukiwa na mtazamo huru,umendika ukiwa nje ya boks,
Lkn wenye kulitaka jambo hili wana minyororo ya fikra za kisiasa na ubinafsi kwenye shingo zao inawaburuza,
hata ww ukipewa hata uwaziri tu uta change mind kwenye jambo hili kwa jinsi utakavyoona mambo ndani jinsi yalivyo,
Hivi kwa karne ambayo nguvu nyingi zinahitajika kwenye "e-government" bado kuna wa uzao fulani unatuaminisha kuwa tunahitaji majengo yajirundike sehemu moja iitwayo mji wa serikali!!!
Hivi kwa nini hatufikirii kuhusu decentralization kuruhusu stronger institutions at the local/regional govt level??
Hivi kuna faida gani kuwatoa watumishi Dar na kwenda kuwarundika Dom?
Mafoleni watayafanyeje?
Je kutakuwepo na usafiri wa mwendo kasi?
Je kuna double lanes ngapi mji ule?
Je kuna hospitali ya Taifa kule wakiumwa itabidi warudi Muhimbili?
Hivi hawa wanawachukuliaje watangulizi wao? Kutimiza ndoto kunatakiwa kuende sambamba na matumizi ya akili!
Kuna vitu si vya kutamka tu viwe na ukafurahia vinavyokuja kirahisi rahisi bila tafakuri!
Unajenga Dom alafu unahimarisha miundombinu ya daraja baharini kule Salender...!!
Watajilinda vipi dhidi ya udukuzi?? (Sina shida na ulinzi wa mitutu)...
Je, hiyo Ikulu itakidhi mahitaji yote ya kihistoria??
Je, common wananchi nao wakihitaji huduma watalazimika kwenda mitumba town??
Yaani siku zote Mimi nilikuwa natamani nione huduma na idara nyeti za serikali/dola zikitawanywa nchi nzima kuanzia ngazi za Kanda hadi Mikoa, Wilaya, Kata, n.k
Ujue uwepo wa VEO/WEO ni kuwa dhana ile ile tu sawa na uwepo wa Mkurugenzi wa jiji/manispaa/hashauri, n.k! Watu tunao...
Wataalamu wapo wengi tu... Tena wasomi wazuri!
Ni kwa nini vijana wasipewe fursa za kuwa wataalamu kuanzia huku with promotions potential?

This Is Very Insane!! Tungejipa muda wa kufikiri tungejikuta tunatekeleza mradi huu kwa kupatia ufumbuzi changamoto lukuki vile vile!
 
Nauliza tu kwa wajuzi wa itifaki maana sasa kiti cha Rais kimehamia Dodoma, je hapo magogoni patajulikana kama Ikulu ndogo?

Je, ofisi za mkuu wa mkoa zitahamia humo magogoni au pale ilipokuwa wizara ya elimu ili iwe jirani na Ikulu ndogo kama ilivyo katika mikoa mingine?

Nasubiri majawabu

Maendeleo hayana vyama!

cc: Pascal Mayalla
Nani amekuambia amehamia Dodoma wakati ilitangazwa yuko Dodoma kwa ziara.
 
Dar hakuhamiki hizo ni siasa tu.. Huyo mzaramo wa kisarawe kila siku tupo nae hapa dar
 
Naijua vilivyo, Tanzania inazopesa za kujenga magorofa ya anti earthquake,ikiwa hata kima cha mshahara cha mwezi ni sawa na mlo wa shushi mmoja hotelini Japan?
Kwani kujenga majengo yanayohimili EarthQuakes ni pesa au Usanifu
 
Back
Top Bottom