Baada ya Rais Mwinyi kukiri kwamba Rais Magufuli ndiye amewezesha Zanzibar kuwa Wamoja, ni wazi Tundu Lissu angepata uteuzi kama alivyoahidiwa

Baada ya Rais Mwinyi kukiri kwamba Rais Magufuli ndiye amewezesha Zanzibar kuwa Wamoja, ni wazi Tundu Lissu angepata uteuzi kama alivyoahidiwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana.

Nakumbuka Tundu Lissu aliahidiwa kutafutiwa teuzi inayolingana na uwezo wake lakini yeye akakaidi na alipofeli uchaguzi akakimbilia tena Ubelgiji badala ya kutoa ushirikiano kwa serikali.

Hongera sana Maalim Seif na ACT wazalendo kwa kusoma vema alama za nyakati.

Maendeleo hayana vyama.
 
Najua wazanzibar wengi hawataki kulisikia hilo Zimwi,Mwinyi asijiharibie!

2025 wazanzibar wasikubali askari kutoka bara waende kusimamia amani huko!Maana mara zote wamekuwa wakiuwawa!Naamini Mwinyi hatakubali damu imwagike ndani ya utawala wake!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mbona sijaelewa

Maana Mwinyi hujamaliza umeruka kwa Lissu mara huko nako bado umedandia kwa Maalim mara hujasawazisha napo umefika kwa Magufuli

Hoja yako ni nini?
Kama kuku anayetaka kutaga vile.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana...
😃😃😃😃TUNDU LISSU alisema anataka teuzii?
 
Najua wazanzibar wengi hawataki kulisikia hilo Zimwi,Mwinyi asijiharibie!
2025 wazanzibar wasikubali askari kutoka bara waende kusimamia amani huko!Maana mara zote wamekuwa wakiuwawa!Naamini Mwinyi hatakubali damu imwagike ndani ya utawala wake!
Kwanini unawasemea Wazanzibar? Wao wameridhika na maisha yanaendelea na wanajua rais wao wa muungano ni Magufuli na rais wao wa Zanzibar kwenye selikali ya mseto ni Mwinyi.

Ninyi endeleeni na viroho vyenu vya korosho hapo ufipa!
 
Back
Top Bottom