Baada ya Rais Samia kukanyaga katiba ya CCM, kwa kupitishwa kuwa mgombea sasa wabunge wa CCM wanajipanga kupitishwa bila kupiga kura

Baada ya Rais Samia kukanyaga katiba ya CCM, kwa kupitishwa kuwa mgombea sasa wabunge wa CCM wanajipanga kupitishwa bila kupiga kura

Mzee wa Code

Member
Joined
Sep 23, 2024
Posts
61
Reaction score
91
Baada ya Rais Samia kupitishwa na wajumbe wa Ccm kuwa mgombea Urais 2025 ambapo kimsingi walifanya maamuzi ayo bila kufata katiba ya Ccm Kwa Kuwa Mgombea aliyepitushwa kwa mijibu wa katiba ya Ccm alitakiwa kuchukua fomu ya kugombea kisha vikao vimjadili na kupitisha jina lake, mtindio huu pia unataka kutumiwa na Baadhi ya wabunge kujipatia ubunge kwa kuwa wagombea bila kuchukua fomu na kupitishwa kuwa wagombea pekee

kwa sasa majimboni kumekuwa kwa moto wagombea wakipishana kujitambulisha, uku baadhi ya wanachama wa ccm waksema mwaka huu awataki wagombe wa vikaratasi na maelekzo kutoka juuu

Wabunge waliopo madarakani kwa kushirikiana na Makatibu wa Ccm wilaya na Mikoa wanajiandaa kuandaa mikutano mikuu ya Jimbo kupitisha uamuzi huu wa kupitisha wabunge bila mchakato ndani ya ccm , Mpango huu unawaweka pembeni Wenyeviti wa Wilaya na Ccm kwa kuwa wengi wao wanawagombea tayari

Makatibu wa Ccm wanafanya uchawa kwa malengo ya kupata teuzi kutoka kwa Rais Samia, na mpango huu ni wa Rais samia ili kulipa fadhara kwa wabunge ambao ndio waliendesha kampeni za chini kwenye mkutano mkuu kuwa apitushwe mapema...

Pia soma:
~
Walimu watakiwa kuhudhuria mafunzo ya mtaala mpya kwa siku 2 kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku!
~ Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yafafanua madai ya kutoa mafunzo ya Mitaala kwa Walimu bila kuwapa posho
 
Upuuzi ule ule wa 2020 utarudiwq tena,halafu kuna vibaka wa vyuo eti wanapinga No reform no elections.
 
Ilaa mama kama ana u babe flani hv 🤔,cjui kama baba abduli anaambuliaga Tena tendo ...
 
Hivi ni kweli Samia hakupigiwa kura?

Hivi hatujui utamaduni wa CCM kuwa anayeanza atamaliza miaka 10 "labda kama mambo yaharibike"?

Acheni domo zege. Samia yupo sana tu labda Mungu asipende.
 
Back
Top Bottom