KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
To declare my interest mi siyo mwanasiasa ila nafuatilia siasa hasa vituko vya JOB pale mjengoni.
Tangu awamu ya tano ilivyopita ambayo ilijaa KUSIFU NA KUABUDU kwingi ili upate kacheo,Sasa wanaCCM wote walikuwa kimya kupima mama anataka nini ili akuteue. Hotuba yake leo imeonesha wazi kitu gani anapenda.Sasa tutegemee yafuatayo...
1. Machawa kuongezeka
2. Idadi ya matusi kuongezeka (hasa ukimkosoa mama)kama ilivyokuwa kwa Magu.
3. Watu kupotezwa na wapambe ili wamfurahishe mtukufu
4................................
5..............................
Tulikuwa tushaanza kusahau kero za awamu wa tano sasa zinarudi kwa kasi.
Time will tell.