Baada ya Rais Samia kusifia matusi ya Wenyeviti wa Mikoa, sasa tutarajie yafuatayo

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
To declare my interest mi siyo mwanasiasa ila nafuatilia siasa hasa vituko vya JOB pale mjengoni.

Tangu awamu ya tano ilivyopita ambayo ilijaa KUSIFU NA KUABUDU kwingi ili upate kacheo,Sasa wanaCCM wote walikuwa kimya kupima mama anataka nini ili akuteue. Hotuba yake leo imeonesha wazi kitu gani anapenda.Sasa tutegemee yafuatayo...

1. Machawa kuongezeka

2. Idadi ya matusi kuongezeka (hasa ukimkosoa mama)kama ilivyokuwa kwa Magu.

3. Watu kupotezwa na wapambe ili wamfurahishe mtukufu

4................................

5..............................

Tulikuwa tushaanza kusahau kero za awamu wa tano sasa zinarudi kwa kasi.

Time will tell.
 
Acheni ramli chonganishi..mkitoka nje ya mstari mtarudishwa kilazima..acheni uoga fanyeni kazi watoto wenu waende chooni.
 
Wasiwasi wako tuu,hakuna mtu atapotezwa.

Mama anapenda mumkosoe ila msimtukane wala kumdharirisha hapo utaamsha mapepo ya kike.
 
MAGOGONI MODERN TAARAB
wametoa Album Mpya ina Ngoma Sita zote Kali
1.Mtu na akili yako unahoji tozo na Mkopo
2.Stress za 2025
3.Serikali ya Mpito
4. Watakao kusumbua ni Shati ya Kijani wenzio
5.Kuna Mawaziri Mmeanza Makundi Makundi yenu
6.kuna watu nitawapumzisha Wakajiandae 2025

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai ndo anaona umhimu wa Katiba saiv
CCM ni ileile .
Na Ndio maan TU nataka katibampya Ili kuwe na transparency ,separation of powers kwenye mihimili ya Taifa
 
Akosolewe tu akili image.Ndo atakomaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…