Baada ya Rais Samia kutembelea Mkoa wa Morogoro atembelee wilaya ya Kiteto (Kibaya) na Simanjiro - Orkesmet

Tunaomba Rais atembelee maeneo yaliyotajwa hapo juu.

Maeneo hayo wananchi Wana umri wa miaka 60, hawajawahi kuona sura ya lami.

Maswali ni mengi kuliko majibu.
Napingana na wewe mkuu, mchawi wa Orkusemet(Simanjiro) ni Olesendeka kuendekeza ufugaji wa kijinga badala ya kufanya wa kisasa, Pia Olesendeka hataki wageni anaendekeza ukabila haswa maeneo hayo.
 
Hawezi kabisa, hayo mapori na mpaka watu wake (inasemekana yule aliyekuwa mkuu wa wilaya alikuwa anajitapa kuwa katumwa na Dkt Samia kummaliza mbunge ole sendeka kisiasa aliposhindwa akatuma wauji wamuue kwa risasi ikashindika na Dkt Samia akampandisha cheo), so hayo mazingira mama atakuwa unwanted sana kwa sababu ya huyo mkuu wa wilaya aliyepita aliyekuwa anajitapa kuwatukana wamasai kwa kisingizio katumwa kitu ambacho siyo kweli kwa sababu Dkt Samia hawezi mtuma mtu kwenda kuua, tena sijui kwanini hajamtumbua.
 
Umenikumbusha Orkesmet mitaa yangu Nabelela ukitoka shamba hapo ndio town unakula chuma za chuga . Life bana kule ni mashamba tupu.
 
Hawezi kabisa, hayo mapori na mpaka watu wake (inasemekana yule aliyekuwa mkuu wa wilaya alikuwa anajitapa kuwa katumwa na Dkt Samia kummaliza mbunge ole sendeka kisiasa aliposhindwa akatuma wauji wamuue kwa risasi ikashindika na Dkt Samia akampandisha cheo), so hayo mazingira mama atakuwa unwanted sana kwa sababu ya huyo mkuu wa wilaya aliyepita aliyekuwa anajitapa kuwatukana wamasai kwa kisingizio katumwa kitu ambacho siyo kweli kwa sababu Dkt Samia hawezi mtuma mtu kwenda kuua, tena sijui kwanini hajamtumbua.
Lakini alipandishwa cheo??
 
Napingana na wewe mkuu, mchawi wa Orkusemet(Simanjiro) ni Olesendeka kuendekeza ufugaji wa kijinga badala ya kufanya wa kisasa, Pia Olesendeka hataki wageni anaendekeza ukabila haswa maeneo hayo.
Hivi olesendeka na ule mtumbo wake kama tanki la maji nae huwa ana watu wa kuwashawishi kabisa?
 
Tunaomba Rais atembelee maeneo yaliyotajwa hapo juu.

Maeneo hayo wananchi Wana umri wa miaka 60, hawajawahi kuona sura ya lami.

Maswali ni mengi kuliko majibu.
Sio huko tuu ni maeneo mengi ya Nchi ,kote huko anaweza fika au asifike kutegemea na aina ya usafiri atakaotumia.
 
Maumivu ya wakulima wa MIWA yanamsubiri…dhambi iliyofanyika ni mbaya sana ya kuingiza sukari mbovu kutoka nje …
 
Lakini alipandishwa cheo??
Naibu katibu mkuu nadhani kama sijakosea. Si unajua 💰vs mambo ya hii awamu kama una 💰 basi nje nje ingawa sasa naona mama kastuka ana waondoa mapandikizi ya mlungula yote, ndiyo maana siwezi sema Dkt Samia alimtuma kujaribu kumuua mmasai ole sendeka bali ni urafi wake wa fedha tu na kutumia mgongo wa taasisi ya urais, ajabu ndiyo alihong akapandishwa
 
Back
Top Bottom