peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Napingana na wewe mkuu, mchawi wa Orkusemet(Simanjiro) ni Olesendeka kuendekeza ufugaji wa kijinga badala ya kufanya wa kisasa, Pia Olesendeka hataki wageni anaendekeza ukabila haswa maeneo hayo.Tunaomba Rais atembelee maeneo yaliyotajwa hapo juu.
Maeneo hayo wananchi Wana umri wa miaka 60, hawajawahi kuona sura ya lami.
Maswali ni mengi kuliko majibu.
Kila mtanzania lazima ashiriki
Hawezi kabisa, hayo mapori na mpaka watu wake (inasemekana yule aliyekuwa mkuu wa wilaya alikuwa anajitapa kuwa katumwa na Dkt Samia kummaliza mbunge ole sendeka kisiasa aliposhindwa akatuma wauji wamuue kwa risasi ikashindika na Dkt Samia akampandisha cheo), so hayo mazingira mama atakuwa unwanted sana kwa sababu ya huyo mkuu wa wilaya aliyepita aliyekuwa anajitapa kuwatukana wamasai kwa kisingizio katumwa kitu ambacho siyo kweli kwa sababu Dkt Samia hawezi mtuma mtu kwenda kuua, tena sijui kwanini hajamtumbua.Tunaomba Rais atembelee maeneo yaliyotajwa hapo juu.
Maeneo hayo wananchi Wana umri wa miaka 60, hawajawahi kuona sura ya lami.
Maswali ni mengi kuliko majibu.
Umenikumbusha Orkesmet mitaa yangu Nabelela ukitoka shamba hapo ndio town unakula chuma za chuga . Life bana kule ni mashamba tupu.Tunaomba Rais atembelee maeneo yaliyotajwa hapo juu.
Maeneo hayo wananchi Wana umri wa miaka 60, hawajawahi kuona sura ya lami.
Maswali ni mengi kuliko majibu.
Hapo Simanjiro Express au Zakaria zinakuhusuUmenikumbusha Orkesmet mitaa yangu Nabelela ukitoka shamba hapo ndio town unakula chuma za chuga . Life bana kule ni mashamba tupu.
Zile kitu zinapiga shimo balaa jamaa amefunga body ya basi kwenye malori zinakimbia utadhani zinapita kwenye lami.Hapo Simanjiro Express au Zakaria zinakuhusu
Lakini alipandishwa cheo??Hawezi kabisa, hayo mapori na mpaka watu wake (inasemekana yule aliyekuwa mkuu wa wilaya alikuwa anajitapa kuwa katumwa na Dkt Samia kummaliza mbunge ole sendeka kisiasa aliposhindwa akatuma wauji wamuue kwa risasi ikashindika na Dkt Samia akampandisha cheo), so hayo mazingira mama atakuwa unwanted sana kwa sababu ya huyo mkuu wa wilaya aliyepita aliyekuwa anajitapa kuwatukana wamasai kwa kisingizio katumwa kitu ambacho siyo kweli kwa sababu Dkt Samia hawezi mtuma mtu kwenda kuua, tena sijui kwanini hajamtumbua.
Hivi olesendeka na ule mtumbo wake kama tanki la maji nae huwa ana watu wa kuwashawishi kabisa?Napingana na wewe mkuu, mchawi wa Orkusemet(Simanjiro) ni Olesendeka kuendekeza ufugaji wa kijinga badala ya kufanya wa kisasa, Pia Olesendeka hataki wageni anaendekeza ukabila haswa maeneo hayo.
Sio huko tuu ni maeneo mengi ya Nchi ,kote huko anaweza fika au asifike kutegemea na aina ya usafiri atakaotumia.Tunaomba Rais atembelee maeneo yaliyotajwa hapo juu.
Maeneo hayo wananchi Wana umri wa miaka 60, hawajawahi kuona sura ya lami.
Maswali ni mengi kuliko majibu.
Naibu katibu mkuu nadhani kama sijakosea. Si unajua 💰vs mambo ya hii awamu kama una 💰 basi nje nje ingawa sasa naona mama kastuka ana waondoa mapandikizi ya mlungula yote, ndiyo maana siwezi sema Dkt Samia alimtuma kujaribu kumuua mmasai ole sendeka bali ni urafi wake wa fedha tu na kutumia mgongo wa taasisi ya urais, ajabu ndiyo alihong akapandishwaLakini alipandishwa cheo??
Kwa wafugaji wa Simanjiro huwaambii kituHivi olesendeka na ule mtumbo wake kama tanki la maji nae huwa ana watu wa kuwashawishi kabisa?