Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Yeah, wiki iliyopita CHADEMA walikuwa wanakesha humu kushusha mamia ya mathreads ya kumchulia Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Walitoa Kila aina ya Dua mbaya kwa amiri jeshi huyu mkuu. Kila mmoja alijitahidi kutoa Yale matamanio yake yaliyojaa kifuani mwake (of course, mengi yalikuwa ya kishetani....chuki, kifo, hila, uongo n.k)
Kwa bahati mbaya, mpaka Sasa, yote M/Mungu ameyatupilia mbali. Yamekosa mashiko na hakuna aliyeyashika......kwa kifupi wameumbuka vibaya. Lakini, kama inavyofahamika, kwenye hila hakosi kuhangaika, Sasa wanachadema hawa wa JF wamehamia kwenye hoja ya udini kwa kujiegemeza kwa RC (ambao wanafahamika kutompenda yeyote asiye wao) na kuchochea moto huo wa dini. Mada zao za uchochezi wa kidini Sasa zinashuka Kama zote.
Mungu ni mwema, atatuvusha salama katika wakati huu ambao wenye hila na chuki za kidini wamedhamilia kutuhangaisha.