Baada ya Real Madrid kufuzu Fainali jana! Je, atakipiga na nani, Roma au Liverpool?

How game y'all Leo AC Roma hats kubali tena kufungwa akiwa nyumaban nae anataka awake rekodi hta kama atashindwa kuchukua kombe ila [HASHTAG]#Ila[/HASHTAG] Liverpool simpi xana % 1[emoji3][emoji3] Kwa atashinda kwan hana mabeki
 
Wapinzani wa Madrid wana tabu sana
Msimu ule Atletico oooh Madrid hapiti
Msimu ule Juventus ohhh Juve kamtoa Barca Madrid atakoma
Kilichotokea wakabakia Mara refa mara bahati

Leo tumefika final kwa kuwatoa mabingwa kwenye ligi 3 kubwa duniani eti wanasema Liverpool (a light team) atatusumbua
 
Kosa wamelofanya ni moja tuuu,,, madrid kuingia final,,, ni timu imeyopitia majanga mengi sana,, psg, juve, Buyern,,,,,, apa madrid ameshabembaa ndioo,,,,, liver hamwezi kabisa madrid
Halla Madrid.

Yaani Madrid kumtoa PSG, juve na Bayen si mchezo, hizo zote ni timu zilizo katika kiwango cha juu kabisa sioni Liverpool akipona kupata kibano cha tatu bila majibu maana wana kiwango cha kawaida ukiwalinganisha na hiyo miamba iliyotolewa na Madrid.
 
How game y'all Leo AC Roma hats kubali tena kufungwa akiwa nyumaban nae anataka awake rekodi hta kama atashindwa kuchukua kombe ila [HASHTAG]#Ila[/HASHTAG] Liverpool simpi xana % 1[emoji3][emoji3] Kwa atashinda kwan hana mabeki
Kama ungekua mtu wa Mpira ungejua hii falsafa"the good way to defend is to attack" walinzi hawana maana kama timu yako kule mbele haitishi!!hivi ulishawai kujiuliza kwanini sub ya salah kwenye mech ya kwanza ilisababisha Liverpool kufunga wakati salah sio beki!?
 
Mkuu Liverpool kamchapa man city,champion wa uingereza,kamchapa sevilla aliyemtoa man u,mchezo wa Mpira sio kama ugomvi wa majogoo kwamba kuna jogoo moja linapiga banda nzima,kumnuka fainali inapigwa mechi moja tu hakunancha home and away,and to keep you informed,Liverpool ndo timu pekee kwenye champions league ambayo haijafungwa mpaka sasa,na Liverpool ndo timu aliyofunga magoli mengine mpaka sasa.
 
Kosa wamelofanya ni moja tuuu,,, madrid kuingia final,,, ni timu imeyopitia majanga mengi sana,, psg, juve, Buyern,,,,,, apa madrid ameshabembaa ndioo,,,,, liver hamwezi kabisa madrid
Wadau wa liver wanasema historia ya ulaya itambeba liver kama atakutana ma Real fainali. Sijajua ni nani mwenye historia kama Real ulaya.
 
Mtanipa majibu ,ilaninaiman Roma ando anacheza final na ndo wapenz wa Bacca watafahamu kua sisi ni baba lao.
 
Liverpool inapewa kichwa na mashabiki wa Juventus, PSG, Barcelona, Arsenal, Chelsea, Malaga, Valencia, Villarreal, Nice, Dijon, Atlanta, Manchester United, Manchester City, Tottenham, na timu zote zinazochukia Real huku kiongozi wa maandamano yao Akiwa Eddo Kumwembe.

Real Madrid ni timu ya ushindi huwezi kuitisha kwa Liverpool yenye vijana Bikira.
 
Hapo ni liver ndo anaingia fainali, then kombe linaenaelekea uingereza mapema kabisa, leo liverpool atashinda tena
Unaposema liver hajafungwa tathimini uzito wa mechi alizocheza kwa kuangalia amekutana na akina nani kutoka makundi mpaka mtoano. Nimemuuliza mwenzio @Rebuke hapo juu kwamba liver angekutana na mmoja kati ya psg, juve au bayern nini kingetokea naona kaingia mitini! Ifike mahala tuache ushabiki na unyumbu tuzungumze lugha ya mpira.
 
Kuongezea kwa wale wanaodai liver ana rekodi, rekodi hizi hapa za ulaya!
Facts, hamna ndumba hapa!


Hii ni rekodi ya liver ulaya, jumla 11.




Na hii ni rekodi ya Real Madrid ulaya, jumla 24. Hapa liver hana chake, kiuhalisia na hata kihistoria, kauawa!
 
Wadau wa liver wanasema historia ya ulaya itambeba liver kama atakutana ma Real fainali. Sijajua ni nani mwenye historia kama Real ulaya.
Nyumbu tu hao achana nao hawaelewi kwamba historia ni nadharia. Sasa historia iwabebe wakiwa na kocha na timu ile ile ya wakati ule kwa pande zote mbili. Watu wanaochambua mpira kama Shafii Dauda sijui nawaonaje!
 
1. Liverpool Vs Maribor Vs Spartak Moscow Vs Seville.
Kisha Vs porto Vs Mancity Vs Roma.


2. Real Vs Apoel Vs Dortmund Vs Spurs
Kisha Vs PSG Vs Juventus Vs Buyern munich.


Aisee, Real Madrid amastahili kabisa hili kombe kwa njia alizopita kuanzia kwenye makundi.
 
Madrid yoyote atakaye kuja mbele yetu tunamla.na biti tunaanza kulitoa tarehe 6 kwa barca.
 
Kama Madrid tukikosa hili kombe which is very rare to lose basi itakuwa ni kwa uzembe wetu, na kama atachukua mpinzani(liver/roma) though it's very very rare to win, basi nitampa credits zake na sio kucomment kinyumbu na kiushabiki (e.g. eti fulani kabebwa, sijui tumeonewa etc.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…