Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,475
- 1,860
Mkuu si rahis sana kulinganisha petrol na diseal, nahisi unaujua moto wa petrol, ndvyo ilivyo liverpool kwa sasa,Halla Madrid.
Yaani Madrid kumtoa PSG, juve na Bayen si mchezo, hizo zote ni timu zilizo katika kiwango cha juu kabisa sioni Liverpool akipona kupata kibano cha tatu bila majibu maana wana kiwango cha kawaida ukiwalinganisha na hiyo miamba iliyotolewa na Madrid.
Hao rome wanakamilisha ratiba, wanaweza kupindua matokeo wakiwa na bac, ila si na riverpool, never ever, yaan ni sawa na maji kupandisha mlima, ni jambo gumu japo linawezekana...