Baada ya Real Madrid kufuzu Fainali jana! Je, atakipiga na nani, Roma au Liverpool?

Mkuu si rahis sana kulinganisha petrol na diseal, nahisi unaujua moto wa petrol, ndvyo ilivyo liverpool kwa sasa,

Hao rome wanakamilisha ratiba, wanaweza kupindua matokeo wakiwa na bac, ila si na riverpool, never ever, yaan ni sawa na maji kupandisha mlima, ni jambo gumu japo linawezekana...
 

Sawa, tusubiri fainali mkuu.
 
Liver alivombovuu anaingia kishindana na timu ya wanaume kama madrid,,,, ivii jaman mliona ilee kasi ya madrid na buyern afuuu leo hii mnataka liver ambaye kapita panyalroad mpaka final et ampige madrid,,,,,, kwanza kabisa liver ninamsikitikia kama atafika final, ,,,magori atakayo kula,,, hakutaonekana kama final, ,,,atakula gor za kutosha
 
Nasikia Real Madrid wanaitwa CCM YA ULAYA maana sio kwa kubebwa kule
 
Mashabiki wa Liverpool msiwaze fainali wakati game bado, tusubiri leo mfuzu ndo tuanze kuongelea ya Kiev, msijipe matumain Kiivyo.
 
Mkuu naomba nikukumbushe mwaka Jana Juventus alifika fainali huku akiwa ameruhusu magoli ma3 tu kuanzia hatua ya makundi na hakuna hata mechi moja aliyopoteza lkn alipgwa 4-1 fainali. Liverpool mpaka sasa ameruhusu zaidi ya mabao 9.
Nakubaliana na wewe kwamba Liverpool ni wazuri sana lkn fainali ni fainali tu, timu yoyote inaweza kupata ushindi.
 
Real Bingwa uefa

fainali ni Madrid vs Liver

roma asifikiri leo liva atafanya umama kama wa barca..
 
ROMA.....watacharuka leo kwao na kuhaha uwanja nzima goli 3 tu wametinga kwenye UEFA Finals

 
ROMA.....watacharuka leo kwao na kuhaha uwanja nzima goli 3 tu wametinga kwenye UEFA Finals
mi ndo nawaambia hivyo, msimchukulie poa, na ukizingatia huyo sallah mwenyewe ni kijana wao waliomlea wenyewe.
 
Heheheee.. Hii inanikumbusha fainali iliyopita na Juve. Story zilikua Juve ana ukuta mgumu, kafungwa goli 4 tu hadi anafika final. Matokeo yake akaongezwa 4 nyingine. Still Madrid alionekana kua na ukuta mbovu. Same applied kwa game ya PSG msimu huu, mlitegemea mvua ya magoli apigwe Madrid.
 

Time ndio inasogea wacha tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…