Emmanuel Luoga Senior Member Joined Oct 26, 2012 Posts 111 Reaction score 29 Nov 26, 2014 #1 Nauliza baada Kamati kufanya Kazi Yake Nzur Je nini Kinafuata Mbona Muhongo Alikuwa Anacheka Maana Yake alikuwa Anamcheka Deo au Au Sisi wananch kwan nini kinafuata baada ya Hapo ili Wajiuzuru
Nauliza baada Kamati kufanya Kazi Yake Nzur Je nini Kinafuata Mbona Muhongo Alikuwa Anacheka Maana Yake alikuwa Anamcheka Deo au Au Sisi wananch kwan nini kinafuata baada ya Hapo ili Wajiuzuru
Msamiati R I P Joined Mar 6, 2011 Posts 1,063 Reaction score 700 Nov 27, 2014 #3 Baada ya hapo ili wajiuzulu inafata vurumai mwanzo mwisho, la sivyo ndio kwishnei
9 99KB Member Joined Nov 26, 2014 Posts 14 Reaction score 1 Nov 28, 2014 #4 hakuna chochote labda tujiandae Na uchauguzi Na tujue makosa yetu
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,391 Nov 28, 2014 #5 Naona wanazunguka tuuuu, wasofanya mambo yakiume, wanawapa mda wakuzutorosha hizo hela na wa TZ watakua wamesha toa joto lau mchezo ume kwishaa..
Naona wanazunguka tuuuu, wasofanya mambo yakiume, wanawapa mda wakuzutorosha hizo hela na wa TZ watakua wamesha toa joto lau mchezo ume kwishaa..