Baada Ya Report Nini Inafuata ?

Baada Ya Report Nini Inafuata ?

Emmanuel Luoga

Senior Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
111
Reaction score
29
Nauliza baada Kamati kufanya Kazi Yake Nzur Je nini Kinafuata Mbona Muhongo Alikuwa Anacheka Maana Yake alikuwa Anamcheka Deo au Au Sisi wananch kwan nini kinafuata baada ya Hapo ili Wajiuzuru
 
Baada ya hapo ili wajiuzulu inafata vurumai mwanzo mwisho, la sivyo ndio kwishnei
 
hakuna chochote labda tujiandae Na uchauguzi Na tujue makosa yetu
 
Naona wanazunguka tuuuu, wasofanya mambo yakiume, wanawapa mda wakuzutorosha hizo hela na wa TZ watakua wamesha toa joto lau mchezo ume kwishaa..
 
Back
Top Bottom