Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Huku ni celebrity forum ebu jadilini mambo ya burudani , makanisa na misikiti hapa sio mahali pake , majukwaa yapo mengi
Source plz??Mgogoro wao umefikia patamu sana sasa hivi ambapo kuna kampuni ya Nigeria inataka sasa kumchukua Harmonize maana dau lao ni 10x la sasa
Mondi amejaaa Harmo amesema amechoka kunyonywa na ndo maana hata sasa kwenye mambo ya WCB haonekani
[emoji119][emoji119]Nimeweka account ya lizerclassic neno WCB lingefutwa.View attachment 891143View attachment 891144
Tuko pamoja mkuuNisamehe mkuu, was responding kwenye point ya jamaa.
Harmonize ni mkristo??
Huna lakusema wew unaongea tu utumbo kwa iyi apa Nini?Lisemwalo lipo kama halipo lipo njiani,hata kwa mavoko wengi walipinga ila kilochotokea kila mtu alikiona na bado watu wana bifu nae
Konde boy alizidi kihedemsede na yeye kisa mikwanja ya saranjele
Cheki birthday hata kupost jaman cheki tour yake huko alipo WCB kimyaa kama sio wao
We mtuu wawapi??Huna lakusema wew unaongea tu utumbo kwa iyi apa Nini?View attachment 892085
Timu kiba kuli huyoMzushi huyo Laizer bado yupo wasafi.