Baada ya Rich Mavoko na Laizer sasa ni zamu ya Harmonize kutoka WCB

Baada ya Rich Mavoko na Laizer sasa ni zamu ya Harmonize kutoka WCB

Mgogoro wao umefikia patamu sana sasa hivi ambapo kuna kampuni ya Nigeria inataka sasa kumchukua Harmonize maana dau lao ni 10x la sasa

Mondi amejaaa Harmo amesema amechoka kunyonywa na ndo maana hata sasa kwenye mambo ya WCB haonekani
Source plz??
 
Ni wakati sahihi wa.yeye kuondoka la sivyo akishuka wakati bado yupo wasafi atatupiwa virago kama mbwa!
 
We mtuu wawapi??
Lisemwalo lipo kama halipo lipo njiani,hata kwa mavoko wengi walipinga ila kilochotokea kila mtu alikiona na bado watu wana bifu nae

Konde boy alizidi kihedemsede na yeye kisa mikwanja ya saranjele

Cheki birthday hata kupost jaman cheki tour yake huko alipo WCB kimyaa kama sio wao
Huna lakusema wew unaongea tu utumbo kwa iyi apa Nini?
Screenshot_2018-10-09-18-06-13.jpeg
 
Back
Top Bottom