Baada ya Ronaldo kuomba kuondoka Manchester United, mashabiki wasema ‘muacheni aende’

Baada ya Ronaldo kuomba kuondoka Manchester United, mashabiki wasema ‘muacheni aende’

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Cristiano Ronaldo ameomba kuondoka ndani ya Manchester United ikiwa ni msimu mmoja tu tangu arejee kikosini hapo, ambapo inadaiwa lengo lake ni kuendelea kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo mashabiki wamesema ‘muacheni aende’.

United haijafuzu katika ligi hiyo badala yake itashiriki katika Europa League, msimu. Sababu nyingine inayotajwa kumuondoa ni United kushindwa kufanya usajili mzuri kwa ajili ya msimu ujao.

Baadhi ya mashabiki wa United wametumia mitandao ya kijamii kusema kuwa klabu imruhusu aondoke. Anatajwa kuwaniwa na Chelsea na Bayern Munich.


Source: Manchestereveningnews


---------------------------

'Let him go' - Manchester United fans react as Cristiano Ronaldo 'asks to leave'

Cristiano Ronaldo has told Manchester United to let him leave should they receive a satisfactory offer this summer, just one season after sensationally re-joining the club.

The 37-year-old only returned to Old Trafford from Serie 'A' giants Juventus last summer.

Ronaldo went on to score 24 goals in all competitions last season, 18 of those coming in the Premier League - which saw him finish as the third top scorer in the division.

The Portuguese superstar's decision is driven by his desire to play in the Champions League for the remainder of his career.

United failed to qualify for Europe's elite club competition following a dismal Premier League season and will instead play in the Europa League next season.

Ronaldo has been part of 19 consecutive Champions League seasons since leaving Sporting Lisbon for English football in the summer of 2003.

The forward has made 183 appearances in the competition, notching 140 goals and adding a further 42 assists in that time.

He has never played in the Europa League, which United qualified for after finishing sixth in the Premier League.

The Portugal international believes he still has 'three or four years' left at the highest level of the game.

Ronaldo would like to spend that time at a club where he is capable of adding to his team and individual achievements.

Portuguese outlet Record also previously reported a heavily frustrated Ronaldo is ready to quit the north-west side due to their apparent lack of transfer ambition.

Ronaldo's affection for United's support remains as strong as ever, according to close friends.

Therefore the forward is keen on pursuing a transfer on sporting grounds, but there are also personal reasons for leaving Manchester after a difficult period for his young family.
 
Bado tuna Captain Maguire hatuto pungukiwa kitu.
Kepteni Magwaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20220203_171100.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ameona chaka la Bayern munich akaandike historia ya kunyakua vikombe kabla ya kustaaf , mjanja Sana , United haina future yyte Kwa miaka Mitano ijayo mwamba anapiga bonge moja la U-turn
 
Sizitaki mbichi hizi......!!

Ronaldo akicheza kwenye timu yako una uhakika wa magoli yasiyopungua 20 kutoka kwake ndani ya msimu mmoja!

Timu gani ina ujasiri wa kumkataa!!!!
 
Hata mimi nasema aende ili wachezaji wenzake wawe huru, maana wataona timu haina staa, pengine watajituma zaidi, aende pamoja na Pogba ikiwezekana na Rashford, wote hawa wasepe tu.
 
Back
Top Bottom