Baada ya Rostam nani anafuata?

Baada ya Rostam nani anafuata?

in and out

Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
69
Reaction score
6
Leo Rostam aziz amejiuzulu nafasi zake zote ndani ya chama na serikali huku siku zilizotolewa na halmashauri zikielekea kuisha, leo rostam kesho ni nani kati ya mapacha wawili waliobaki?
 
Anafwata
Underboss
Consigliere
 
Did I see someone collapsing at that meeting ?
 
Kwa chaguo langu ningefurahia sana kuona Kikwete naye anamfuata RA na kuamua kubwanga manyanga kwa kushindwa kuiongoza nchi.
 
Mapacha waliobaki watakomaa mwanzo mwisho. Lol.
 
Gamba lazima liindoke na nywele mzee wa kaya ajiandae
 
mh,kama kawa wakajipa matumaini fake hawako nyuma humu,ooh mapacha ni hatari,ooh watamwaga mboga WAPI?WATASHEMEKA TU
 
...Nadhani ni muafaka sasa kwa Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete (JK) aachie ngazi kama (1) Mwenyekiti wa Chama, (2) Rais wa Mtandao. Sababu ni: kwanza, ni Rostam Aziz aliyemsaidia JK kuingia Ikulu kwa fedha na mbinu za kimtandao akishirikiana na Edo Lowassa na "genge" la mafisadi papa wa mfumo wa CCM na wa ndani ya mfumo wa CCM. Pili, Rostam ndiye aliyeunda mtandao wa "uongozi wa Ikulu" na kulifanya Baraza la Mawaziri kuwa na watu wenye mahusiano ya moja kwa moja na au ya nyuma ya pazia na mafisadi waliyeongoza kampeni ya kuwaingiza wanamtandao kwenye mfumo wa utawala na menejimenti ya serikali kuanzia ngazi za kati na juu ya msonge wa uongozi wa na utendaji wa nchi. Kwa jinsi hiyo, umefika wakati sasa kwa JK (kama ni muungwana) kufuata nyayo za Rostam Aziz (aliyekuwa MNEC na MB wa Igunga).....Kwa kheri Rostam, nenda kafanye biashara zako na uache kuingilia "siasa" kwa kutafuta maslahi binafsi ya kibiashara...!




 
Back
Top Bottom