Baada ya Ryoba Kupigwa Mawe TBC, Shabani Kisu aibukia Channel Ten na Kipindi Kipya

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Wakati wa late Presida JPM ilionekana kuwepo tabia ya kusifu, kuabudu nk na baadhi ilionekana wanafanya kwa hofu au kujipendekeza kwa mkulu.


Pamoja na madudu yaliyotokea pale TBC, ndugu Ryoba anaendelea kupigwa mawe kwa kuonekana alikuwa akiendesha kipindi kumsifia mbendembende late JPM akionekana anajipendekeza au kutafuta sifa.

Leo kipindi kipya kutoka kwa mtangazaji mwingine aliyekuwa TBC na sasa ni mkurugenzi wa Channel Ten Shaban Kisu ame_launch kipindi kipya kiitwacho TWENDE PAMOJA KWA MATOKEO YA HARAKA.

Namkumbuka ndg Polepole alipokuwa anarusha kipindi tv hii hii na kuruhusu wananchi kuhoji jambo, haya kinachoendelea hapa na kile cha ndg slow slow ni the same, hapa wadau tuna la kujifunza.

Katika kufuatilia maudhui sijaona jipya tofauti na yule ndg Ryoba, tupo LIVE muda huu Channel Ten na waziri wa aridhi, nyumba na maendeleo ya makazi Mh. Angelina Mabula.
 
Biden anaumiza kichwa aweke vikwazo ingawaje havitasaidia ukraine kupata kilicho chake au akubali yaishe ili kujipanga upya
Boris, Mikel, na watu wao wameanzisha mgomo baridi wa kumuubga mkono babayao Biden kwa kumuwekea vikwazo Putin.
 
Sijaelewa hoja
Hata mi sijaelewa hoja yake ni nn! Lakini ninachojua tbc na chanel ten zote mmiliki wake ni 1.
Hamuwezi kuelewa endapo hamfuatilii na hamkuwahi kujua Dr. Ryoba anapondwa kwa sababu ipi na hiki kilichoanzishwa maudhui yake yana hakisi nini!.
 
ukieleweka utajibiwa.kunywa chai kwanz ndio urud uandike. kuna ubaya gan kwa kipind hicho? kwan hakun ya kuelezwa mazur ayaliofanywa na awam ya sita? mpka leo unavuta hewa safi unafikr bila wizara kuchakarika ungekaa hapo ukashiba shiba na kutype?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…