Baada ya sakata la mabehewa kushika kasi, kipi kinakuja kufuta hili fukuto?

Sozo_

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2022
Posts
776
Reaction score
1,132
Tumezoea kuona jambo gumu linapowakabili viongozi wetu, huwa kunatokea jambo lingine la kufuta sintofahamu iliyopo na watu kuhamia kwingine.

Unafikiri ni jambo gani au kituko gani kitaletwa kufuta fukuto hili la mabehewa?
 
Kunahili la ndege kuzuiliwa ughaibuni! Utashangaa ghafla imerudi katika nyakati za uzinduzi wa huo mradi wa SGR
Hili nimekosa nguvu lilitaka kupata nguvu likazidiwa na la mabehewa
 
Yani Kadogosa anaulizwa na Azam tv yale mabehewa mapya au ya zamani,amejibu km anachambua kitabu alafu ameshindwa kusema km mapya au ya zamani.
 
Kasema mapya, eti Kigwangala kapata wapi taarifa kuwa ni mtumba?

Cha kushangaza, Samia mwenyewe kasema ni mtumba!

Sasa kupuliza miluzi mingi namna hii wanataka kumchanganya mbwa gani?
 
Tumezoea kuona jambo gumu linapowakabili viongozi wetu, huwa kunatokea jambo lingine la kufuta sintofahamu iliyopo na watu kuhamia kwingine.

Unafikiri ni jambo gani au kituko gani kitaletwa kufuta fukuto hili la mabehewa?
Kituko cha wale ma ustadh wa michongo kumsafisha nabii, hata hivyo hakija trend
 
Wale nao manina kweli ma Ostadhi ubwabwa wakubwa.
Ha ha ha ha[emoji23]

Dini imeingiliwa?
 
Yani Kadogosa anaulizwa na Azam tv yale mabehewa mapya au ya zamani,amejibu km anachambua kitabu alafu ameshindwa kusema km mapya au ya zamani.
Utakasirika mwisho unajikuta unacheka, wanatudharau sana.
 
Kasema mapya, eti Kigwangala kapata wapi taarifa kuwa ni mtumba?

Cha kushangaza, Samia mwenyewe kasema ni mtumba!

Sasa kupuliza miluzi mingi namna hii wanataka kumchanganya mbwa gani?
Kiongozi wako amesema ni used wewe unakuja ni mapya, sijui wanatuonaje
 
Back
Top Bottom