Baada ya sakata la mabehewa kushika kasi, kipi kinakuja kufuta hili fukuto?

Baada ya sakata la mabehewa kushika kasi, kipi kinakuja kufuta hili fukuto?

Tumezoea kuona jambo gumu linapowakabili viongozi wetu, huwa kunatokea jambo lingine la kufuta sintofahamu iliyopo na watu kuhamia kwingine.

Unafikiri ni jambo gani au kituko gani kitaletwa kufuta fukuto hili la mabehewa?
Mabwawa kujaa maji na hivyo kusitisha mgao wa umemes
 
Back
Top Bottom