Wametuona mafala kweli yaani.Utakasirika mwisho unajikuta unacheka, wanatudharau sana.
Mabwawa kujaa maji na hivyo kusitisha mgao wa umemesTumezoea kuona jambo gumu linapowakabili viongozi wetu, huwa kunatokea jambo lingine la kufuta sintofahamu iliyopo na watu kuhamia kwingine.
Unafikiri ni jambo gani au kituko gani kitaletwa kufuta fukuto hili la mabehewa?