Baada ya Samia Kutembelea Uarabuni, Wamasai wameanza kufukuzwa kwenye Malalio yao

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Kuna Uhusiano gani wa rais Samia kutembelea Uarabuni na Operation ya kuweka Mipaka Loliondo? Miezi mitatu baada ya Samia kwenda Uarabuni, mipaka imeanza kuwekwa Loliondo. Pia Wamasai wametakiwa kuhamia Tanga kwa hiari

Hivi Karibi Rais anaenda tena Uarabuni. Nini tutegemee?

Inadaiwa Loliondo kuna madini.
 
Kitalu kinachomilikiwa na OBC ("WAARABU) kilitolewa enzi ya rais Mwinyi na wote waliofuta urais hawakuwa na pingamizi seuze Samia?
Samia alizungumzia uwepo wa uhifadhi wa ushirobo,mazalia na vyanzo vya maji Ngorongoro na Loliondo alipohutubia bunge mara ya kwanza kabla hajaenda ziara yoyote
Punguza mihemko ya kisukumagang tafuta sababu nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…