Baada ya Samweli Sitta spika wa viwango! Sasa ni Tulia Ackson Mwansasu homa ya jiji

Naona Tulia umekuja kujipigia debe. Yani utailinganisha hili bunge la machawa na bunge la sitta? Bunge la Sitta was the best. Kulikuwa hakuna mambo ya kijinga ya kuruhusu wabunge wasio na chama.
 
Huyo hata robo ya Makinda hajafika ,we ntoto unamkumbuka Adam Sapi Mkwawa? Ama Pio Msekwa? Hopeless child
 
Pumbavu.
 
Ujinga wa Watanzania ndio unaowapa Chawa nafasi ya Kula na kusaza.
 
Maspika bora mpaka sasa ni Hayati Samwel Sitta na Mama Anna Makinda -until further notice!
Huyo Tulia ni Spika wa serikali!!
 
Pale hakuna kitu.
Lile ni galasa tu.
Yaani serikali inasema mgao wa umeme utaisha March, 2024, yeye Spika anasema anataka serikali imalize mgao wa umeme mwezi juni, 2024. Dr. Tulia ana akili timamu kweli?
Mimi ni Mnyakyusa halisi,tangu nizaliwe sijawahi kuona Mnyakyusa hana msimamo kama Tulia!
 
Uwe na akili yeye hajazuia kukamilisha kwa muda waliopanga ,ila anewapa mwisho wa visingizio mwezi wa sita !
Bunge linatakiwa kuwa sauti ya wananchi hivyo spika na wabunge wanatakiwa kupeleka kero za wananchi kwa watawala. Umeme umekuwa kero kubwa, lakini spika yeye hataki kuibana serekali. Hiyo kwako ndio akili?
 
maspika wote waliowahi kupita hakuna aliyemfikia ANNA MAKINDA. yule ndio alikuwa spika.
 
Pale hakuna kitu.
Lile ni galasa tu.
Yaani serikali inasema mgao wa umeme utaisha March, 2024, yeye Spika anasema anataka serikali imalize mgao wa umeme mwezi juni, 2024. Dr. Tulia ana akili timamu kweli?
Wewe ndio huna akili timamu tuonyeshe spika wako mwenye akili timamu wewe
 
Anawapa Kama nani? Wenyewe wamejicommit mwezi wa tatu, yeye anaongeza Hadi mwezi wa SITA. Very stupid speaker
Ulitaka ajae kwenye mfumo unaoonekana kabisa ni uongo?
 
Hao uliowataja wataingia bungeni kupitia majimbo yapi? Bahati mbaya kwako ni kwamba kati ya hao hakuna ataesogelea viwanja vya bunge
 
Naona Tulia umekuja kujipigia debe. Yani utailinganisha hili bunge la machawa na bunge la sitta? Bunge la Sitta was the best. Kulikuwa hakuna mambo ya kijinga ya kuruhusu wabunge wasio na chama.
Hakuna mbunge asiye na chama ndani ya bunge letu
 
Hao uliowataja wataingia bungeni kupitia majimbo yapi? Bahati mbaya kwako ni kwamba kati ya hao hakuna ataesogelea viwanja vya bunge
We ndoupo kwenye seva ya Nec? Au ndompishi mkuu wa matokeo pale Nec? Kwani walio bungeni wananini hasa chaajabu kwa akiliyako labda... kamaipo lkn🤣?
 
Sikuwahi kuona tija ya huyu mama ktk ukuaji wa uchumi wa nchi zaidi ya kuwa rubber stamp!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…