Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

Unachotakiwa kujua ni kuwa kila jimbo katoliki lina mamlaka yake kamili yawezekana yapo majimbo yakawa na mtazamo tofauti.
Hulijui Kanisa katoliki wewe. Kule wamenyooka mzee..Ni mstari mmoja Toka vatikano Hadi kitongojini kwako.
 
Hulijui Kanisa katoliki wewe. Kule wamenyooka mzee..Ni mstari mmoja Toka vatikano Hadi kitongojini kwako.
Mbona wa Ngara aliweka lockdown waumin wake uliona kuna wakumzuia,
 
Washaanza kutishwa,ila hakuna mtu hapa tanzania ana ubavu dhidi ya wakatoliki wataufyata mkia
 
Haya mkuu ngoja tuone na msimamo wa Bakwata!
BAKWATA inasimamia nini kwa waislamu wa Tanzania? It's just a bunch among the governmental institution. Hawawezi kutoa neno lolote tofauti na msimamo wa boss wao
 
Y
Mbona wa Ngara aliweka lockdown waumin wake uliona kuna wakumzuia,
Yan achukue tahadhari waumini wake wasidhurike halafu azuiwe!!! Embu awaambie waumini wake wasivae barakoa uone watakachomfanyia..nyie mnafikiri kila mtu na kila Taasisi ni wa kuwafanyia huo ubabe wenu? Au mnafikiri Kanisa katoliki Ni hao wasanii kina gwajima na kakobe?!!!
 
Kanisa Katoliki ni habari nyingine hiyo. kama Vatican ni nchi ndani ya nchi ya Italia hilo linatosha kuwa somo.

advataizi moja wapo kuwa Katoliki haliogopi chochote ni hii hapa pichani.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…