Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Ah na ndiyo maana kuna mtu alipata madaraka hajaw kwenda Vatican kwaiyo hawamwelew wakati kila mtu akipata madaraka lazima aende vatican kwaajil ya maelekezo..Pale kuna Kanisa na nchi ya Vatican. Nakukumbusha tu bwashee!
Mkuu ni wapi Kanisa linakatazwa kumiliki guest house,au kwako ilo neno linatasfiri gani?.Mimi ndo maana sina dini kwa kweli, kwa hiyo unataka kusema hili kanisa linataka kuingia war-mode na serikali eti??? Hata yesu alisema acheni wafu wazike wafu wao, ya kaisari wamuachie kaisari.
Kama wanajali sana dini yao waache kufungua ma bar na kumbi za starehe wakaeneze injili! siku hizi makanisa yanamiliki hadi guest houses
Ni ushenzy mtupu, by the way maisha yangu nimekua mkatoliki mpaka pale nilipoona ukatoliki ni ujinga tu! MUNGU HANA DINI WALA YESU HAKULETA DINI
Kweli Mkuu mdomo hutapika kilichoko moyoni uzinzi umemjaa hivyo kwake Guest House zipo kwa ajili ya wazinzi na sio wageni katika maeneo zilipoKosa ni kumiliki guest house! Hizo ni nyumba za wageni ila kwa watu washenzi kama wewe ndio unaenda kufanya uzinzi. Jiangalie tabia zako kwanza zikoje ndio ulaumu.
Basi haukuelewa mafundisho. By the way, hapa inazungumziwa hoja ya tamko la jana, huko kwenye ma bar unataka kuhamisha tu mstari.... nimekua mkatoliki mpaka pale nilipoona ukatoliki ni ujinga tu! MUNGU HANA DINI WALA YESU HAKULETA DINI
tatizo imani yako ndio inakusumbua, na hakuna utakachoambulia kwenye mjadala huu.Hakuna serikali yenye nguvu zaidi ya kanisa.Maana hata jeshini kuna waumini wakatoliki linalofuata mamlaka ya Papa, Vatican.Hivyo kwenda kinyume na kanisa ni mwanzo wa kuanza kujitengenezea vikundi vya waasi.
Thubutuuu waseme nini.Wajaribu tuwaambie wanachanganya dini na Siasa!!! NA tuwasweke LupangoHaya mkuu ngoja tuone na msimamo wa Bakwata!
Hapana, hata Elimu na huduma ya afya wanayotoa sio free. Ni biashara kama biashara nyingineis it for free?
Kwako pombe ni dhambi kwa wakatoliki ni kiburudisho cha kawaidasijalazimisha imani yangu kwa mtu yoyote! hata iwe ni taasisi ya miaka bilioni mbili mungu ni yuleyule biblia ni ileile
Nani alikwambia Vatican Ni nchi? Angalau ungesema koloni. Vatican Ni MilkiPale kuna Kanisa na nchi ya Vatican. Nakukumbusha tu bwashee!
Huo ndo ukweli Catholic inaitwa bablon (machafuko)Umekaririshwa ikakuingia kwelikweli
They are not your words ,but ufunuo words.usijipe ujiko omeraUlichoongea ndo kilichoandikwa ktk biblia kitabu cha ufunuo 13:1.:.. utaona jinsi hili kanisa linavyopata nguvu kutoka kwa joka(dragon) shetani,hili kanisa lina nguvu ya kisiasa na kidini toka enzi za Rome Empire, na ktk miaka ya 1500 rumi ya kidini iliwatesa wakristo wengi sana, waliyokataa mafundisho ya kipagani ndani ya kanisa katoliki,hali iliyopelekea waprotestant kukimbilia bara la America,wakikimbia mateso, kina John Hass, Martin Luther na wengineo waliyokataa mafundisho ya uongo ndani catholic cult, hili kanisa litasimika ibada ya siku ya jumapili kwa watu wote wakristo na waislam,(ngumu kuamini lakini biblia haisemi uongo heri asomaye na afahamu (Mark of the beast) in Catholic Church there is no serious bible studies, but what matters is to safeguard Vatican interests that is to lead the world both political religious,This is biblical prophecy to be fulfilled soon,before second return of Jesus, mark my words,