Jihadhari na majungu.... Kumbuka timu hii imeanza kuandaliwa karibia miaka miwili iliyopita bila msaada wowote..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kama mwana michezo nikimuangalia Rais tuu nahisi kwa miaka 10 hii michezo tusahau
Unaposema bila msaada wowote, una uhakika?mkuu majungu yako wp hpo?
Utaandamana hapa hapa mtandaoni.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ukuta September 1 mm nitaandamana sababu ya michezo
Hahahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ukuta September 1 mm nitaandamana sababu ya michezo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] basi sawaHahahaha
Sasa itabidi ukaandamanie kwa Nape uko uko
Mkuu kwani ww ndio Nape[emoji15]Unaposema bila msaada wowote, una uhakika?
Wewe endelea na uchuro wako.Mkuu kwani ww ndio Nape[emoji15]
Basi tutajie huo msaada
HahahaMkuu kwani ww ndio Nape[emoji15]
Basi tutajie huo msaada
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mbona povu LumumbaWewe endelea na uchuro wako.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa ukisema hvo Huyo mkuu anapinga na ukimwambia weka alilofanya anasema ni uchuroHahaha
We mwana michezo usibishane na wanao taka kukupeleka kwenye siasa wana jukwaa lao huko la polifix
Kwenye michezo Nape ana fanya madudu matupu na serikali yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa ukisema hvo Huyo mkuu anapinga na ukimwambia weka alilofanya anasema ni uchuro
OK ngoja nitoke kwenye siasa Viva Barcelona
[emoji13] [emoji13] [emoji13] MWANITESA UNITED[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kanichekesha kweli
Aaah apo kwa fc b ndo una haribu sasa
Endelea kuwa kama Nape[emoji13] [emoji13] [emoji13] MWANITESA UNITED