Baada ya Serengeti boys kuipiga South Afrika Nape aibuka

Baada ya Serengeti boys kuipiga South Afrika Nape aibuka

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
403
Ile tabia ya serikali kuunga mkono michezo pale tu wanapoona dalili za mafanikio imedhihirika hapo jana baada ya waziri nape kujitokeza na kuahidi kuipeleka kambi nchi za nje. Kumbuka timu hii imeanza kuandaliwa karibia miaka miwili iliyopita bila msaada wowote Wa serikali Sasa Leo ikiwa imebaki mechi moja ili wafuzu ndyo serikal inaibuka ,tabia hii imekuwa sugu kwa serikali hawajal kabisa linapokuja suala la maandalizi ya timu za taifa Ila kunapokuwa na mafanikio wao ndyo Wa kwanza kujitokeza
 
Huyu hana msaada wowote katika kunyanyua sekta ya michezo Tanzania hi..tutaendelea kusifia vya wenzetu miaka buku..na wakiwaacha hawa madogo kama wale watoto wa mtaani waliochukua kombe la dunia mungu atawalaani
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kama mwana michezo nikimuangalia Rais tuu nahisi kwa miaka 10 hii michezo tusahau
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kama mwana michezo nikimuangalia Rais tuu nahisi kwa miaka 10 hii michezo tusahau
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Ukuta September 1 mm nitaandamana sababu ya michezo
 
Mkuu kwani ww ndio Nape[emoji15]

Basi tutajie huo msaada
Hahaha
We mwana michezo usibishane na wanao taka kukupeleka kwenye siasa wana jukwaa lao huko la polifix

Kwenye michezo Nape ana fanya madudu matupu na serikali yake
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hahaha
We mwana michezo usibishane na wanao taka kukupeleka kwenye siasa wana jukwaa lao huko la polifix

Kwenye michezo Nape ana fanya madudu matupu na serikali yake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa ukisema hvo Huyo mkuu anapinga na ukimwambia weka alilofanya anasema ni uchuro

OK ngoja nitoke kwenye siasa Viva Barcelona
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa ukisema hvo Huyo mkuu anapinga na ukimwambia weka alilofanya anasema ni uchuro

OK ngoja nitoke kwenye siasa Viva Barcelona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kanichekesha kweli

Aaah apo kwa fc b ndo una haribu sasa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom