Tetesi: Baada ya Serikali kuanza mahojiano na Nyalandu kuhusu kashfa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, atimkia CHADEMA

Ujambazi huko utalii haujaanza Jana wala juzi ni muendelezo tuu Stanley Katabalo alipotea kwa kuzungumzia ukweli wa Loliondo Gate kwenye magazeti ya mfanyakazi na motomoto wakati huo..
Kwa hiyo nyarandu yeye aliundeleza ?
 
Ccm ni wapushkuna na wanafiki wakubwa...
Ni kwa nini haya yaibuke leo?
Leo hata Jaffo ikitokea akihama ccm basi maccm ni lazima yamfanyie fitina!
Kama vipi basi ccm wekeni kashfa za viongozi wote walioko madarakani na waliostaafu.
Ngugu alie muita nyrndu mwizi wa twiga na fisadi wa vitalu ni chadema ila akishaham mnageuka na kumsafisha unakumbuka Lowassa ..lema alisema msimuite waziri mkuu mstaafu ni mwizi alijiuzulu na ni raha kumzomea lakini Leo hii ni kiongozi wa chadema hata makonda mnamtukana leo akihamia chadema mtamsifia kwa nn nyie msiache kupakazia watu kashfa za kipumbavu na unafiki wenu??
 
Siku zote walikua wapi wasiseme ccm ni gari bovu kwanini leo ndio wanasema,hakuna waziri maskini ccm kuanzia baba yao mpka manaibu mawaziri,tunajua nyalandu kapiga sana kwenye vitalu na yuko vizuri kiuchumi.
Kwanini mda wote wasimpeleke mahakamani
 
Hivi kuna waziri yeyote wa CCM ambaye ni msafi!!?. Wote wanapiga.. ila kwa kuwa ndio mtindo wa chama huwa inabaki siri, ila ukichomoka huko ndio wanakutupia kashfa kwa kuwa wanakuona msaliti... ila mi naamini mtu akitoka CCM na kuja upinzani huwa anakuwa amechoshwa na system ya upigaji hivyo kaamua kuwa mtu mwema kwenye chama chema.. tangu Lowassa ajiunge Chadema hajajihusisha tena na swala lolote la kifisadi kwa sababu huku hakuna mianya inayoruhusu.. karibu Kiumeni Nyalandu huku ukitegemea kashfa nyingi kutoka kwa wachumia tumbo.
 

Na ni nani aliye msafi ccm!
Hawa wanaowakimbia wanajuta na kutubu makosa yao, wezi na mafisadi bado ipo ccm!!
 
Chadema ni sawa na dust bin ya gesti, watu wakishafanya hao uchafu hutupwa huko,
 
Kaka inaonekana wewe utashangaa hata ukikutana na majambazi wastahafu peponi.. CCM ni kambi ya wapigaji.. mtu akitoka huko anatakiwa apongezwe na kupokelewa vizuri kwa sababu atakuwa amekusudia kuachana na upigaji ndio maana kapakimbia huko ili asije kurudi dhambini.
 
Chadema ni sawa na dust bin ya gesti, watu wakishafanya hao uchafu hutupwa huko,
Ila hata sisi tuna dust bin zetu tumezipa udiwani na sasa hatuzioni kwenye maeneo yao.. inawezekana ziko sehemu zinatumika kwenye magesti..
 
Kwanza watu ni wasauhulifu sana; aliyepandisha twiga kwenye ndege ni Maige na si Nyalando. Maige bado yupo ccm na hamsemi kashfa yake? Na bado kwao msafi? Akiondoka hii itamrudia?
Na akija kwenu ingali ana hayo makando kando bado mtamuita shujaa wa kweli na anayejitambua??
 
Kama ni hivyo inabidi muwaombe radhi kwa Yale yote mliyowapakazia pindi wakiwa viongozi serikalini
Kwa maana nyinyi CHADEMA ndio mliowapa shutuma na kudai mna ushahidi wote!
Jambo la ajabu na la kushangaza mnasema wanakuja huko ili kutubu madhambi ....mtu ashapiga mabilioni ya pesa ana shida gani nyingine tena ya kuwa serikalini??
Hakika CHADEMA ni chaka la mafisadi!
Wanaogeuka mashujaa kwa haraka.
 
Kwa namna hii nchi haiwezi kipona CCM ni kichaka cha ufisadi kwa kuwa kinashika dola.Kwa namna hii wa uovu wa mtu kionekana akitoka CCM ni janga,na hapa mzizi ni KATIBA ya rasimu ya mzee Warioba.
 
Hakuna aliyepakaziwa.. ni kweli ukiwa CCM lazima uwe mpigaji kwa kuwa system inaruhusu.. na huwezi kuona wenzako wanapiga we unawaangalia tu.. labda kama una matatizo ya akili.. mtu akikwambia ameacha kupiga wakati bado yuko CCM ni mwongo, hivyo hatustahili kuwaomba radhi bali kuwapongeza kwa maamuzi magumu ya kuacha pesa CCM na kuja kupambana na Nissan nyeupe na Noah nyeusi kiumeni.
 
alisema kuwa baadhi ya mawaziri na wabunge wa awamu ya nne wangepaswa kuwa jela kwa ufisadi na ushiriki wao kwenye ujangili. Leo Nyalandu amekimbia. Ifuatayo ni historia ya kashfa moja ya Nyalandu.
Kama viongozi wa awamu ya 5 wapo serious kweli, wawaondolee kinga marais woteee ili akina Mkapa, Mwinyi, JK (na JPM muda wake ukiisha) nao waweze kuonekana kortini kabla hatujaanza kuwakaba koo akina Nyalandu, Membe, Msabaha na majizi yote. Otherwise hizi ni kelele zisizo na tija. Ukimkamata Nyalandu akaja akasema yeye alikuwa anatekeleza amri ya Rais kama vile JPM alivyotekeleza maagizo ya Mkapa ya kujiuzia nyumba, unafanyanye?
 
Wakati Nyalandu akiwa waziri wa Maliasili na Utalii alikuwa na msimamo wa kufungua lango la Bolongoja kati ya Tanzania na Kenya ambalo liko Hifadhi ya Serengeti ili watalii kutoka Hifadhi ya Maasai Mara Kenya waingie Serengeti kuangalia wanyama lakini kula ba kulala Maasai Mara. Tanzania ingeambulia ada za wageni na magari kuingia Serengeti lakini Maasai Mara wangaliendelea kupata mapato kutoka vyanzo vifuatavyo1. Ada za watalii na magari kuingia hifadhi ya Maasai Mara 2. Kodi ya kitanda kwa kila mtalii anayelala kwenye hoteli 3. Chakula na vivywaji 4. Ajira kwa watumishi wa hoteli na vituo vya mafuta 5. Ada ya ndege kutua kwenye viwanja vya hifadhi 6. Ada kwa waongoza watalii hasa wale wa kutembea hufadhini 7. Mauzo ya kazi za sanaa kama vinyago, bangili nk 8. Ada za kupiga kambi 9. Utalii wa "hot air balloon 10. Utalii wa gari usiku (night drive). Kubwa zaidi ni kwa Serikali ya Kenya kupata mapato yatokanayo na utalii kutoka hifadhi ya Maasai Mara.
Nyalandu hakuona hasara hizi kubwa zaidi ni adhari ya mazingira kwa sababu magari mengi yangekuwa yanaingia kwa "day trip" na kujazana kwenye eneo la karibu na mpaka wa Tanznaia na Kenya. Baba wa Taifa aliliona matatizo ya kupoteza mapato na adhari za mazingira lakini Nyalandu kwake zilikuwa fursa za ufisadi.
 
Zile shutuma zake tunafanyeje sasa?
Maana ushahidi mnao nyie wenyewe.
 
Utakuwa lemadolezii.......akiwa kwenu msafi akitoka mchafu....siku makodakta akihama chama chenu ndo mtaonyesha unafiki wenuu wa kumwita bashitee.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…