Tetesi: Baada ya Serikali kuanza mahojiano na Nyalandu kuhusu kashfa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, atimkia CHADEMA

Huu ni mwanzo tu, serikali ya JPM ndo inaelekea kutimiza 2yrs, watachohola wengi!
Wengine watajipga risasi,kujinyonga,kujitosa baharini ili Wafe kukwepa Kutumbuliwa!
 
Safi sana
 
Akiwakimbia mtu mnamsakama ila mkiwa nae msafi,
 
sikuzote mtu ufny kitu kinyemasilai kwake lakini kwaili nawasiwasi nalo
 
Kumbu kumbu zangu zinaniambia kuwa waliokuwa wakiibua shutuma za ufisadi wa Nyalandu ni upinzani....haswa masuala ya vitalu......

serikali ililala haikuwasikiliza kwa hiyo muda huu ndo wanazinduka baada ya kuondoka sijui haya mambo yamekaaje ccm haiwezi kuziona kashfa za wakina chenge,tubaijuka na ngeleja wakiondoka nao itaandikwa kama wewe ulichoandika.

nguvu ya kushughulika na kashfa za wizi ni ndogo mno hapa lazima tutambue kuwa wastaafu wakuu wapo huko ccm walihusika ktk wizi haiwezekani vidagaa viwe vinanguvu kubwa namna hii naamini bila hao wastaafu kwa nguvu aliyonayo magufuli wengi wangekuwa jela.
 
mleta mada kwan mtu hapa nchin mtu anakuwa salama anapokuwa ccm au upinzan/
 
Yeye ndo anaenda inunua chadema kwa mara nyingine!
Atawapatia vibaraka wake wa nje wainunue.
 
Diwani mmoja ni sawa na wabunge wangapi vile
 

Mnataka kutuaminisha kuwa mtu akiwa CCM anaweza kufanya makosa yoyote ya kiutendaji na akabaki salama? Pia kwa mapovu ambayo watu wanaanza kutokwa sasa ina maana Nyalandu angebakia CCM hapakuwepo shida angeheshimika kama mbunge na waziri mstaaafu wa mali asili siyo? Kwa nini haya yote hayakusemwa kipindi akiwa kwenye power as minister, akiwa CCM kama mbunge na mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa?
 
Chama cha upinzani kushika dola Duuuuuuuuuuh

Wacha tuendelee kutizama movi
 
Kama akili zipo sawa huwezi ukaandika hivi
Yani unasema mtu amekimbia wakati yupo hapa hapa?

Basi mshughulikieni mana kwa vile ametoka huko kwenu nahisi itakua rahisi kumchukulia hatua.
 
Asubuhi hii nakuja na swali kama linavyojieleza,Maamuzi ya Mh Nyalandu kidogo yameninyima usingizi,je Mh unaweza real kuwa mwanasiasa wa upinzani kama Lisu,Lema,Mbowe,Halima Mdee,Msigwa
???je unafikiri this is right time to do so??unaonaje maneno ya Mh Lowasa Jana kwamba umechelewa?? Alikuwa anamaanisha nini?
Kwa kuwa nina uwezo wa kufikiri mbali kidogo nimeona nimshauri Mh Nyalandu mambo yafuatayo,na ninaamini atayapa kipau mbele kwa kuwa anakoelekea nilishakaa huko na najua matokeo yake,
Je Mh Nyalandu unayajua maneno ya Rais Magufuli aliyotamka adharani kwamba atakayetupinga tutambomoa au tutamvunja? Kabla ya kuchukua maamuzi uliwaza kitu kama hicho?je upo tayari kulipa gharama ya kuwa mwanasiasa mpinzani nchi hii? Ninachoona kwa macho yangu na kuamini moyoni mwangu ni kwamba unampinga mwanyekiti wako wa zamani na alishatoa warning!!!
Mh Nyalandu kuna gharama kubwa sana unatakiwa ulipe kuanza sasa hivi za safari uliyoanza Jana,kwa mtazamo wangu hutaweza na Lowasa alijaribu kukueleza kwamba umechelewa,huu sio wakati muafaka wa kufanya unayotaka kuyafanya,is dangerous and your risking it all?
Wanasiasa wa upinzani wameshalipa gharama kubwa kila MTU kwa wakati wake
Wamepigwa na polisi wanaotakiwa kuwalinda,wametukanwa,wameuawa,wamezushiwa na kufanyiwa vitendo vibaya na serikali unayojiandaa kuipinga,
Nakushauri huu sio wakati muafaka kufanya unayotaka kufanya,ni hatari kubwa kwa kuwa unataka kumpinga MTU aliyesema Ukinipinga nakubomoa,
Hutaweza kupita walikopita wakina Lissu is too late brother,
Dr Slaa yupo zake kanada katulia na familia mastrees yote ya kijinga yameisha,
Hujazoea misukosuko wanayopitia wapinzani and is too late now,
Ondoka Tanzania haraka sana chukua familia yako nenda nchi yoyote au rudi zako marekani enjoy life my friend,
Jambo unalotaka kufanya ni hatari kwa maisha yako na itakugharimu heavy price,
Brother hakuna politics in African, is wasting time,achana na siasa utaumia hutamuweza Magufuli atakuumiza,
Naongelea uzoefu na Mimi binafsi nimelipa gharama kubwa za kuwa mpinzani na nimekuja kugundua ni hatari kubwa na nimeamua kukaa pembeni kwa sababu I will never change anything anyway,,,,
 
Ikibainika kanunuliwa nitapata kamkwanja cha bando maana ni Mbunge wangu hawezi kuniangusha kama hajaniangusha kudhihirisha uovu wa ccm
 
Kwa hiyo wataka nchi iachwe iendelee kama ilivyo kwa sababu watu wanaogopa magu atawabomoa? Huo ni woga wa aina yake mkuu, wacha abomoe watu tuu lakini hawezi kubomoa wote na hata yeye anaweza kulipa matendo ya kubomoa wenzake wakati ukifika. Chiluba ilikuwa hivyo hivyo, lakini ndiye aliye sababisha mrithi wake afikirie upya kubadili sheria ya kinga na kilichofuata ni historia na fundisho kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…