Tetesi: Baada ya Serikali kuanza mahojiano na Nyalandu kuhusu kashfa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, atimkia CHADEMA

Hawawezi kuwashtaki maana wengi walifanya kwa kuwasaidia wastaafu wenye KINGA ndiyo sababu kuguswa siyo rahisi kivihvyo tunavyodhani.Nasubiria kesi ya Lazaro Nyalandu inayopelekwa mahakamani na UVCCM
uvccm wanafanya maigizi walikuwa wapi kipindi anaomba ridhaa ya kuwa mbunge kwa tiket ya ccm?
 
sio kweli jamaa kwa sas hayupo nchini
ingia [HASHTAG]#magekimambi[/HASHTAG]....... usome zaidi
Kwa hyo atafia huko huko alipo?
Tanzania hatorudi.

Hizo tuhuma zake za ufisadi ZIMEANZA LEO ALIVYOONDOKA?
AU TANGU ZAMANI
MLICHUKUA HATUA GANI BAADA YA KUJUA CCM KUNA FISADI NYALANDU?
 
Ni nani aliye msafi wa kumnyoshea Nyalandu kidole? Hamkuona ufisadi wake akiwa ccm mmeuona baada ya kuhama chama?
 
uvccm wanafanya maigizi walikuwa wapi kipindi anaomba ridhaa ya kuwa mbunge kwa tiket ya ccm?

Hapo ndipo ninapoichukia serikali ya CCM hawaoni maovu mpaka pale muhusika anapotoka kwenye System.Na hawayaoni sababu yanakuwa yamejiunganisha pamoja na maovu ya taasisi kubwa ya URAIS.Ni kama watoto mapacha wasioweza kutenganishwa maana UTI wa MGONGO wake ni 'KINGA YA URAIS"
 
Nyalandu amekimbia wapi? Mbona yupo?
 

HABARI,
Sawa mkuu kwa Taarifa iliyoeleweka,Kama ni kweli hapa lazima sheria ifate mkondo wake na watu kwenye hili wasije wakasema mtu amepandwisha mahakamani kwakuwa amehama chama waziri mpya wa maliasili alisha sema lazima watu wote wahusika sheria ichukue mkondo.Ila na waliopo ndani ya CCM pia wito sheria pia ifate mkondo.

LUMUMBA
 
Unaweza kunipa jibu mkuu,Nini kilizuia yeye kuchukuliwa hatua kipindi hiko,akaachwa mpaka asa hivi,nionyeshe mtu mmoja tu unaemjua Ni Safi nami nitaamini maneno yako,mi si mwanasiasa na Sina chama ila hayo Mambo ya kijinga kijinga achana nayo na acha nchi ijijenga,inaitaji watu wengine hi nchi,mkimuachia mmoja mnamuonea
 
Unamsemea kama dada yake?
 
Ingelipendeza kama tungeyasema haya mapema!
 
Ondoka Tanzania haraka sana chukua familia yako nenda nchi yoyote au rudi zako marekani enjoy life my friend,
Rose wewe ni genius. Unamshauri aende zake marekani akatulie ale mapesa aliyovuna kwa hao waamerika!
 
tangu jana mh lazaro nyarandu alaipo tangaza kujiuzulu ccm na kuhamia cdm yamezuka mambo ambayo tusiyofaham kuhusu uongozi wake kwenye wizara hiyo ya maliasili hizi ni baadhi tuu ya picha pindi akiwa Waziri katika wizara ya maliasili [HASHTAG]#source[/HASHTAG] tanzamwanga /facebook page
 
Miaka mingi ukiuliza mtu wa upinzani kwanini nchi haina maendeleo atakwambia mfumo,ukimuuliza mfumo nini ,atakujibu mfumo ni utaratibu wa ccm wanavyoiba,ukiuliza ni kina nani walio nyuma ya huo mfumo na wanaratatibu watakuambia ni nyalandu,lowassa,sumaye,rostam hao wakiondoka ccm itakua chama bora,

Na mtu ambae hana kashfa ni magufuli hizi ni kauli walikua wakizitoa mwaka 2014 mungu sio mashinji ghafla mungu akataka kutuonyesha kua watu hao waangalie midomo yao na nyuso za ni tofauti yaani ni wanafiki,

Mpaka kufika 2015 zile taka taka zote zimejificha ndani ya stoo yao, choo wamekitoa nje wamekiingiza chumbani,wale waliowapigia kelele na kuaminisha wale wafuasi wao watiifu kwamba hawa watu hawafai sasa wamewabadilishia beti na hakuna wa kuhoji wala kukumbusha kwamba mlituambia ccm ni mfumo mbona ule mfumo umehamia kwetu na mmeupokea wote.
Huyu mmoja mlimuita mr ziro lakini tumempa uenyekiti,hili fisadi namba moja tulimpa bendera ya uraisi,huyu jangili muuza vitalu tumempokea kwa mbwe mbwe vipi hapa,

Hoji upotee na kuitwa msaliti na ukifukuzwa uanachama katiba hairuhusu kwenda mahakamani kama huamini hilo muulize zitto mwigamba,shonza,kitila na kafulila.

Ccm ni chama imara na ni sawa na jiti kubwa kila likijinyoosha na kuzidi kukua magome dhaifu huanguka hivyo ccm inayoendelea ndio ccm ya kweli,

Tunashangaa na kujiuliza mbona wafuasi watiifu wanashangalia mfumo kuhamia kwao au ndio ile hata kiongozi akikimbia bila nguo mtaani kwa kujitoa ufahamu watasema ana nguo,

Ccm ilivamiwa na mafisadi yameondoka,ccm ilikua na majangili yamejipima na kujitathimini yameamua kuchukua maamuzi,ccm walikua na wezi wa kushikilia mahekari ya ardhi wameondoka na juhudi kubwa za rais ni kurudisha ardhi yote iliyoporwa kipindi cha uongozi wa mfumo.

Hivi sasa mfumo upo ndani ya chadema!

CCM IMARA NDIO INAONEKANA KUELEKEA 2020

Msitu umetiwa moto wadudu na wanyama hawana pa kujificha!
 
samahani jose

Huenda wakabadilika mkuu name kuendana na mfumo mpya
 
Nyalandu ana akili timamu kushinda wewe, je unadhani ni mgeni na siasa za nchi hii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…